Kama uliwahi kuisifia series ya LOST njoo hapa

Angalia "The following" ndio utajua wapagan sio watu
 
Lost nilazima akili itumike sana.
Mfano baada ya ile ndege kuanguka watu karbia wote walifarik mpaka jack. Hayo matukio yote uliona kwenye season 1 & 2 haviku real ilikua nimawazotu yamuda mfupi kabla kufa.
Atakaweza kuielewa lost anaweza kuelewa kitu chochote hatakiwe complicated kias gani
Ma mke mbona mm nashindwa kuiinjoi..Mimi napenda series akili itumike sana sana. Sio vitendo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comment ya kibabe
 
Nakumbuka nilikua nafanya special test na UE Open University, pia nilikua na test taasis nyingine siku hio hio, then nilikua addict wa LOST nakumbuka nilitoboa mpaka saa kumi na moja asubuh naangalia lost nilienda kuoga tu nkazama chuo niliacha blank booklet nikakimbia kabla sijasin niliona chenga tu thanks Lord lile somo lilikua elective tu
Halafu mtu anakuja anaiponda tu kirahis rahis ila sishangai maana hata those day tulikua hatuwashauri jamaa zetu vilaza kuangalia ile kitu
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ulitisha sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lost nimeiona 2008 wewe unaangalia leo...? Lazima itakuwa imeisha utamu tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimaliza hizo ulizotajiwa kuna series nyingine kali kama
Dexter(hii inahusu serial killer anaeua serial killer wenzake),13 reasons why,Stranger things ,Narcos,The 100,Handmaids tale,westworld.Nenda kaangalie hizi hutojutia huo mda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…