Kama uliwahi kuisifia series ya LOST njoo hapa

Angalia zote last ship na viking.ila anza na viking

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo inayoendelea baada ya bomu kulipuka itafute. Lost ni series kwa mtu makini maana matukio yake yanataka umakini utulie uangalie na uelewe kila neno linalotamkwa.. Sio zile series unaangalia hata bila sauti unaelewa.. Mtu unaangalia episode nzima ume mute sauti na bado unaelewa episode nzima.. Lost na X files ndo series pekee nmewahi kuangalia inakubidi uelewe point to point na ukishaanza kuielewa mwanzo tu hutakaa kuziacha.. Sema x files niliichoka..ndefu kama isdingo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani mkuu...nitaitafuta aisee..mambo nayo yamekuwa mengi sana.
 
Wewe kwenye "emperor of sea" si ulikuwa unazingua kumchakata lady 'jang_hwa' mpaka 'head chief' akawa anakusaidia kuchakata.
Hili mbwa nalo lilinikera sana hapo tu..Yan goli wazi kipa hayupo halaf unaleta ustaarab wako wa kijinga jinga..
 
Dah!..ulicheza kamari kubwa sana mkuu.
 
Regnar ameenda valhalla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…