Hivi K naskia kwenye concert moja(enzi hizoo za kwetu)alicheza mpk akavua nguo na kubaki na chupi!?!![emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]AY, Kajala na Dataz
AY alikua mstaarab sana, asiye na makuu. Walikua na kundi lao likiitwa SoG tokea wako shule O' Level.
Dataz hutu alihamia akiwa na kipaji na hilo jina la Dataz ameanza nalo tokea akiwa O'level.
Kajala hapa naomba nisiongee sana ila alikua mzuri sana, na yeye alikua anajua kwamba ni mzuri (naongelea wakati namfaham akiwa form two wazazi wake wakiwa wanaishi O'bay polisi).
Kwani jiteute alihama au alihamia K...!!!AY shule moja alinitangulia darasa moja.
Datazi nilimtangulia darasa moja.
Kuhusu Kajala tulifahamiana tu yeye akisoma shule moja Songea huko, likizo ndio ilikua namfahamu zaidi)
Mambo yake ya shule sikua nayafaham au kuyafuatilia sana ( hapa naongelea akiwa Songea). Nimejikita kipengere kidogo sana. Alikua mrembo.Hivi K naskia kwenye concert moja(enzi hizoo za kwetu)alicheza mpk akavua nguo na kubaki na chupi!?!![emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwani jiteute alihama au alihamia K...!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi K naskia kwenye concert moja(enzi hizoo za kwetu)alicheza mpk akavua nguo na kubaki na chupi!?!![emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Okay sawa,basi enzi yuko jiteute alikua motooo K, katulia sana Siku hizi...!!Mambo yake ya shule sikua nayafaham au kuyafuatilia sana ( hapa naongelea akiwa Songea). Nimejikita kipengere kidogo sana. Alikua mrembo.
Nafikiri hakumaliza kama sikosei akapata mimba ya P....!!!au alipata zeroAlikuja kuwa mtukutu sana akasumbua wazazi vibaya mno. Shule ikawa tia majitiamaji.
Wee!Mama P alikua bandidu sana ,enzi hizo shule zilikua chache sana,Za gvt kama 8 au tisa, private hazifik 30 so mnajuana sana hapa mjini![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilisoma na Majaliwa O-level. Alikuwa mwongo, usiombe. Bora siku hizi kuna wakati anasema kaukweli kiasi.
Tabata hiyo nishawah kaa na mr Blue nyumbani kwa kina Dully basi uani kwa kina dully kuna kijisehem wametengeneza kwa ajili ya kupumzika na kuvutia bange blue alikua anavuta sana sijui kama kaacha siku hz tulikua tunapiga story za mipira na yeye alikua anashabikia France kipindi hicho kombe la dunia 2010Wale ambao mmewahi kusoma, kuishi, kujuana na watu maarufu kama wana muziki, wacheshi, waigizaji, wanamichezo, n.k watu Maarufu, maisha yao yalikuwa vipi kipindi hicho mkiwa shule mliyosoma, mtaa mlioishi, katiba urafiki ama kujuana kwenu, n.k
Binafsi niwe mkweli tu, sina mtu niliewahi kusoma nae, kujuana nae ama kuishi nae mtaa moja, ambae amewahi kuwa maarufu. njia ya muongo ni fupi, nikidanganya hapa kwamba nimewahi kujuana na flani naweza kuulizwa maswali nikabaki najiuma uma tu.
Muhimu: usitunge story za uongo (chai)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi nilisoma na mzee Msekwa,ni comment hapa ?
Wengine sijui tulisoma na wachawi wale! Balaa tupu
Acha vurugu mkuu.Wewe si ulisoma na Lulu Diva
😅nimekaa naye dawati moja,afu unitafute nina issue tudiscuss, mwisho wa mwaka huu☺️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni Mjinga.. Nimecheka.
Sent using Jamii Forums mobile app