Ananyota ya Uganga na Ufumu.Mimi nimesoma na darasa moja na Kabudi habari za mitishamba alizipenda tangu tukiwa shule [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yes, alikuwa anaimba Reggae. Jina lake ni hilo hilo hata la kisanii. Alikuwa kijana mwungwana sana. Nilisoma nae O'level - TambazaJamaa alikuwa anaimba rege kama sijakosea
Wee ni mkubwa mlongo sikatai, nahis hata dada angu wa kwanza umemzidi. [emoji23][emoji23][emoji23]We niamke Mimi![emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]Mimi mkubwa wewe!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilosoma na Dorothy Gwajima, pale lipstick iligoma tangu enzi.
Lema na shule wapi na wapi?Nimesoma shule mmoja na mh mbowe yaani shule niliyosoma mm a level na mbowe alisoma wkt fln nikiwa mwalimu wa tempo ktk shule hyo mbowe aliweza kufika na kuwasalimu walimu na wanafunzi wakatolewa wote nnje mbowe. Ahutubie ..namkumbuka sna alituachia Kama milion mbili HV na usheee ..
Yaani [emoji3] namuona jins alivyo kuwa anahutubia maelf ya wanafunzi jioni ile
Shule hyo inaitwa Kolila high schools ...na hata pia lema alisoma pale
Country toka ntoke na babuSijakupata hapo unaposema "babuu wa kitaa na mdogo wake country boy" ina maana hao jamaa ni ndugu
Wewe ni nan,Mimi huwa naogopa kujulikana hivyo napunguza kufahamika sana au kujulikana na ninaosoma nao. Hata sitoki mara nyingi na nina very close friends wachache. Mtu akijua taarifa yangu yeyote nakuwa na mashaka
Aggrey yupi huyo? Huyu huyu au? Nimecheka mie lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilisoma na one incredible chuo...alikua mwana tu no makuu
Nilisoma na aggrey chuo...mambo yake ya kushushua ila hakua Kama alivyo sasa