MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kazi yangu leo ni Kusoma tu Mirejesho yenu ( Comments zenu ) juu ya Jambo nililoliuliza hapo juu katika Kichwa changu cha Habari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga ni team ndogo sana.labda angejihusisha na Manchester United angeeleweka kidooogo.Kazi yangu leo ni Kusoma tu Mirejesho yenu ( Comments zenu ) juu ya Jambo nililoliuliza hapo juu katika Kichwa changu cha Habari.
Katika hayo mahusiano nani jike na nani dume, tuanzie hapoKazi yangu leo ni Kusoma tu Mirejesho yenu ( Comments zenu ) juu ya Jambo nililoliuliza hapo juu katika Kichwa changu cha Habari.
Aliyeongoza kwa kura anatoka Iringa Leonard, ana kampuni inayotengeneza nguzo za umeme, uchaguzi wa Ccm watu wanashindana kuhonga.Yanga ni team ndogo sana.labda angejihusisha na Manchester United angeeleweka kidooogo.
Nakusaidia orodha Freddy Vunjabei pia wajumbe wamepiga spana.Kazi yangu leo ni Kusoma tu Mirejesho yenu ( Comments zenu ) juu ya Jambo nililoliuliza hapo juu katika Kichwa changu cha Habari.
Mbona mimi nina kampuni cha kubangua Korosho,kuchambua Pamba na mabus 200 ya kwenda mikoani nimeambulia kura 27.Aliyeongoza kwa kura anatoka Iringa Leonard, ana kampuni inayotengeneza nguzo za umeme, uchaguzi wa Ccm watu wanashindana kuhonga.
Unamkubali sana huyu Mwamba Ndugu kama Mimi? Hivi kapotelea wapi ghafla hivi? Hata Mimi nimemmisi kinoma na naona Pengo lake kabisa katika Kuichangamsha JamiiForums Kimijadala na Kiuwasilishaji wake.Jentaaa
Umesema Ukweli mtupu na nakubaliana nawe 100% zote kabisa Ndugu.Mbona mimi nina kampuni cha kubangua Korosho,kuchambua Pamba na mabus 200 ya kwenda mikoani nimeambulia kura 27.
Tatizo si kuonga tu,unatakiwa kujiongeza kidogo ikiwa ni pamoja na kumsifia mkuu hata kama kachukua mikopo ya kupaka kucha rangi.
Mbona mimi nina kampuni cha kubangua Korosho,kuchambua Pamba na mabus 200 ya kwenda mikoani nimeambulia kura 27.
Tatizo si kuonga tu,unatakiwa kujiongeza kidogo ikiwa ni pamoja na kumsifia mkuu hata kama kachukua mikopo ya kupaka kucha rangi.
Huyo si mwenzentu, hata Wasira si kwamba ana pesa nyingi Bali ameingizwa kimkakati.Mbona mimi nina kampuni cha kubangua Korosho,kuchambua Pamba na mabus 200 ya kwenda mikoani nimeambulia kura 27.
Tatizo si kuonga tu,unatakiwa kujiongeza kidogo ikiwa ni pamoja na kumsifia mkuu hata kama kachukua mikopo ya kupaka kucha rangi.
Mimi walinipakazia eti team Majaliwa.Huyo si mwenzentu, hata Wasira si kwamba ana pesa nyingi Bali ameingizwa kimkakati.
Kwa kifupi issue ya 2025 mama ameshamaliza shughuri safu imeshapangwa na hakuna kitimbakwiri yeyote Ccm atakayethubutu kunyanyuwa mdomo kushindana na mama 2025.