Kama ume imiss Dar ya Miaka ya Tisini hakikisha kila sikukuu ya kiislamu unatembelea Chanika au Back City

Kama ume imiss Dar ya Miaka ya Tisini hakikisha kila sikukuu ya kiislamu unatembelea Chanika au Back City

Siku hizi hata thamani ya mtu wa Dar imeshuka. Enzi hizo mtu wa Dar mkoani ni kama Mungu mtu.
🤣🤣🤣

Bado ipo bana wewe unaiona haipo kwa sababu umekuja Dar umepazoea. Ila ukienda baadhi ya mikoa ukisema unatoka Dar unashobokewa hatari. Hata mademu unawapata Kirahisi. Mfano Mwanza
 
Hali ya kumiss maisha ya miaka nyuma huitwa NOSTALGIA, mimi binafsi sikuwa nimezaliwa 1990's but naona kwenye reel mbalimbali kwamba miaka ya 1980's na 1990's ilikuwaga miaka mizuri san
 
Hali ya kumiss maisha ya miaka nyuma huitwa NOSTALGIA, mimi binafsi sikuwa nimezaliwa 1990's but naona kwenye reel mbalimbali kwamba miaka ya 1980's na 1990's ilikuwaga miaka mizuri san
The 90s were the best era
 
Miaka tisini maisha yalikua mazuri sana yani huwaga natamani siku zisimame turudi miaka ya tisini
Na kuna kipindi watu wataimiss miaka hii ya 2020's kikubwa tuishi huku tukitumia vyema muda na pumzi aliotupa mungu bila kusahau kutenda amali njema,kwani muda haitusubiri
 
Zama tulizonazo sasa ndio zama bora kabisa,
1. Fursa kedekede, biashara kutoka china, dubai, UK kwa mitandao tu na ndege chap.
2. Information is power. Information is accessible. This means Power is everywhere.
3. Kuna warembo wakali kila kona. Pesa yako tu.
4. Huduma za afya ni bora zaidi. Mitindo ya mavazi ni mingi na kila aina ya entertainment.
5. Internet na AI vinakupa kujifunza skill yoyote unayotaka.

Nilikuwa kijana mdogo miaka ya 90 na kijana mkubwa miaka ya early 2000s huwezi nishawishi kurudi zama za giza.
 
Achana kabisa na miaka ya tisini. Those were the days.. Ilifika kipindi nikawa najiuliza why am so much possessed by the 90s? Is it because I was still a Lil Bow Wow( a very young boy) or what? But comments sections za nyimbo zilizo kuwa hit miaka ya tisini nchi mbalimbali zimejaa watu wanao share the same obsession about the 90s with me.. Watu walio kuwa watu wazima, walio kuwa vijana na tulio kuwa watoto miaka ya tisini kama akini all share the same feelings about the 90s. The wish feeling range from " Obsession " to possession.

Sasa kama ume miss hiyo energy ya miaka ya tisini, hasa wewe ambae ulikuwa mtoto miaka ya tisini basi hakikisha ilifika siku ya sikukuu ya kiislamu una tembelea Chanika( Chax) au Back City au vyote kwa pamoja.

Chanika na Back City zitakupa the impression of the 90s. I see a lot of the 90s in Chax or Back City whenever I come to visit these places in Islamic holidays.

Watoto wengi mtaani kwa makumi elfu Yao kuanzia watoto wa primary hadi vi teenagers kibao kwenye sehemu za "ki tembelea".You need to feel that kind of energy.. It is a very positive energy being around that kind of atmosphere. in a kufanya uione dunia bado ipo ipo sana na haina mpango wa kuisha any time sooner. This kind of energy huwezi juikuta sehemu nyingine za Dar ( More especially Old Dar es salaam: Sinza, Magomeni, Kinondoni, I lala etc) Mtoto jaiwezi enda disco toto Sinza labda umpeleke Mlimani City kwenye mabembea. Na kwenye mabembea ni vitoto under ten sio teenagers etc..

Back City and Chanika = New Dar Es Salaam
Huko Kunakuwa na mdundiko?
 
Niceness...

Jambo zuri kwa sisi waTanzania, espesheli, wa mijini - Dzm, Chuga, Rock City, Mbeya City na kwingineko - ni vile wakristo na waislamu tunajua sisi ni kitu kimoja... ukiachana na mahaters wachache wanoropoka vibaya humu JF.
... Pamoja na kuwa na marafiki wa dini tofauti, mm mkristo bado niliingoja Id El Fitr kwa hamu na marafiki zangu waislamu waliingoja krismasi kwa hamu...
 
Nikiiongelea Upanga nitaonekana mimi ni wa Kishua...
Lakini ukweli miaka ya 80 mpaka mwishoni mwa miaka ya 90, Upanga tuliokulia miaka ile huwezi kuamini kuwa kulikuwa kumejaa wabantu kuliko wahindi.

Nimekulia na kusoma shule za hayo maeneo, na tulikuwa tunajuana wote, kariabia Upanga nzima tunajuana wote
Maana kama hatukutani kwenye mechi ya mpira, basi wote tunakutana Don Bosco...
Hakuna nisiemjua kutoka Upanga West mpaka Upanga East, hata kama hatuna urafiki lakini unajikuta unamjua yule ni fulani na anaishi mtaa fulani....

Mwaka jana nimetembelea Upanga, mpaka machozi yanalenga, hakuna tena yale maisha ya kijamii, kote kumebadilshwa kuwa maghorofa marefu na mageti makubwa hata hujui nani anaishi humu, na nina uhakika sio tena wabantu wako humo, ni watakuwa wahindi na waarabu kutoka nje maana hata wale watoto wa kihindi tuliocheza nao hawapo tena.

Huoni watoto wowote wanatembea au wanacheza mitaani kama zamani, ni magari na walinzi wamesimama magetini.
 
Back
Top Bottom