Kama ume imiss Dar ya Miaka ya Tisini hakikisha kila sikukuu ya kiislamu unatembelea Chanika au Back City

2002 am 17 nna videmu vyangu mnakubaliana kuonana kesho nyuma ya shule Fulani saa saba mchana na unawnsa unamkuta kweli. Wacha kabisa hilo vibe mzee. Imagine kipindi hicho hakuna simu so kwenye kutongoza hakuna mambo yankuombana namba za simu wala kutongoza kwa meseji ni unamtongoza live kianalojia
Naona umemiss enzi za true love kabla ya penzi biashara 😁

Ila maisha bila internet yalikuwa real aana
 
Wachana kabisa na miaka ya tisini. Usifananishe na kitu chochote. Anyways hiyo Back City wakuja wengi hawaijui. Mimi kaetu Rock City nimekuja Dar mwaka 1994 nipo la tatu tumehamia huku. Ila wazawa wa mikoani kama GENTAMYCINE haawezi kuijua Back City.. Kama vipi tum challenge popoma atuambie Back City ni wapi hapa Dar. Tumpe hadi kesho saa nne asubuhi asipo itaja basi tujue kwamba yeye hajawahi kufika Dar na aache kujisema eti anaishi /amezaliwa Kawe. Kwa wewe mzaliwa wa Dar au uliekuja Dar muda mrefu kama Mimi au unaejua Back City ni nini naomba usiitaje hadi kesho saa nne asubuhi kama popoma atashindwa kuitaja
 
Acha kunizoea vibaya 'maku' Wewe sawa?
 
Achana kabisa na miaka ya tisini. Those were the days.. Ilifika kipindi nikawa najiuliza why am so much possessed by the 90s? Is it because I was still a Lil Bow Wow( a very young boy) or what? But comments sections za nyimbo zilizo kuwa hit miaka ya tisini nchi mbalimbali zimejaa watu wanao share the same obsession about the 90s with me.. Watu walio kuwa watu wazima, walio kuwa vijana na tulio kuwa watoto miaka ya tisini kama akini all share the same feelings about the 90s. The wish feeling range from " Obsession " to possession.

Sasa kama ume miss hiyo energy ya miaka ya tisini, hasa wewe ambae ulikuwa mtoto miaka ya tisini basi hakikisha ilifika siku ya sikukuu ya kiislamu una tembelea Chanika( Chax) au Back City au vyote kwa pamoja.

Chanika na Back City zitakupa the impression of the 90s. I see a lot of the 90s in Chax or Back City whenever I come to visit these places in Islamic holidays.

Watoto wengi mtaani kwa makumi elfu Yao kuanzia watoto wa primary hadi vi teenagers kibao kwenye sehemu za "ki tembelea".You need to feel that kind of energy.. It is a very positive energy being around that kind of atmosphere. in a kufanya uione dunia bado ipo ipo sana na haina mpango wa kuisha any time sooner. This kind of energy huwezi juikuta sehemu nyingine za Dar ( More especially Old Dar es salaam: Sinza, Magomeni, Kinondoni, I lala etc) Mtoto jaiwezi enda disco toto Sinza labda umpeleke Mlimani City kwenye mabembea. Na kwenye mabembea ni vitoto under ten sio teenagers etc..

Back City and Chanika = New Dar Es Salaam
Hapo mbagala na mbande na Azam complex chamazi..

Nenda Islamic holiday season huto jutia
 
Umenikumbusha sikukuu tulikuwa tuaenda pale kidongo chekundu (Kwa sasa ni JK YOUTH PARK) na pale ktk bustani ya Mnazi mmoja ktk sanamu linalopiga Ngoma. ODL IS GOLD
 
Siku hizi hata thamani ya mtu wa Dar imeshuka. Enzi hizo mtu wa Dar mkoani ni kama Mungu mtu.
 
Back
Top Bottom