Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
🤣🤣🤣Siku hizi hata thamani ya mtu wa Dar imeshuka. Enzi hizo mtu wa Dar mkoani ni kama Mungu mtu.
Those were the dayUmenikumbusha sikukuu tulikuwa tuaenda pale kidongo chekundu (Kwa sasa ni JK YOUTH PARK) na pale ktk bustani ya Mnazi mmoja ktk sanamu linalopiga Ngoma. ODL IS GOLD
Kumbe na huko vijijini mnajua habari za mabasha? Au umesoma mtandaoni?Basha wako.
Na kuna kipindi watu wataimiss miaka hii ya 2020's kikubwa tuishi huku tukitumia vyema muda na pumzi aliotupa mungu bila kusahau kutenda amali njema,kwani muda haitusubiriMiaka tisini maisha yalikua mazuri sana yani huwaga natamani siku zisimame turudi miaka ya tisini
Sana tofaut na sasa ila tuishi bila kumsahau mungu maan miaka hii mambo ni mengi sanThe 90s were the best era
Huko Kunakuwa na mdundiko?Achana kabisa na miaka ya tisini. Those were the days.. Ilifika kipindi nikawa najiuliza why am so much possessed by the 90s? Is it because I was still a Lil Bow Wow( a very young boy) or what? But comments sections za nyimbo zilizo kuwa hit miaka ya tisini nchi mbalimbali zimejaa watu wanao share the same obsession about the 90s with me.. Watu walio kuwa watu wazima, walio kuwa vijana na tulio kuwa watoto miaka ya tisini kama akini all share the same feelings about the 90s. The wish feeling range from " Obsession " to possession.
Sasa kama ume miss hiyo energy ya miaka ya tisini, hasa wewe ambae ulikuwa mtoto miaka ya tisini basi hakikisha ilifika siku ya sikukuu ya kiislamu una tembelea Chanika( Chax) au Back City au vyote kwa pamoja.
Chanika na Back City zitakupa the impression of the 90s. I see a lot of the 90s in Chax or Back City whenever I come to visit these places in Islamic holidays.
Watoto wengi mtaani kwa makumi elfu Yao kuanzia watoto wa primary hadi vi teenagers kibao kwenye sehemu za "ki tembelea".You need to feel that kind of energy.. It is a very positive energy being around that kind of atmosphere. in a kufanya uione dunia bado ipo ipo sana na haina mpango wa kuisha any time sooner. This kind of energy huwezi juikuta sehemu nyingine za Dar ( More especially Old Dar es salaam: Sinza, Magomeni, Kinondoni, I lala etc) Mtoto jaiwezi enda disco toto Sinza labda umpeleke Mlimani City kwenye mabembea. Na kwenye mabembea ni vitoto under ten sio teenagers etc..
Back City and Chanika = New Dar Es Salaam
Achana kabisa na miaka ya tisini. Those were the days.. Ilifika kipindi nikawa najiuliza why am so much possessed by the 90s? Is it because I was still a Lil Bow Wow( a very young boy) or what? But comments sections za nyimbo zilizo kuwa hit miaka ya tisini nchi mbalimbali zimejaa watu wanao share the same obsession about the 90s with me.. Watu walio kuwa watu wazima, walio kuwa vijana na tulio kuwa watoto miaka ya tisini kama akini all share the same feelings about the 90s. The wish feeling range from " Obsession " to possession.