Very very true mkuu....kwa mwenye Akili sahv Maisha yanazidi kuwa marahisi ....Saivi tuhubiri kujiajiri tusiwadangaje watoto
Mtu akishakuwa na hio mentality ya ajira akimaliza chuo hafanyi chochote hata miaka mitano eti anasubili ajira.
Kizazi cha sasa kinabahati sana kuwa internet na social net work unaweza kufanya chochote na MTU yeyote.
Tusiwadanganye watu waamini kwenye kuajiriwa tu na kujiajili.
Tuwaambie kote MTU naweza kutoboa ilimradi awe tough mentally na awe serious
Wanatishana eti shikilia kazi hata kama ni 3000/d ni ujinga na kuukubali umaskini.For sure mkuu ...watu badala kuwaza fursa wanawaza ajira
Wewe umejiajiri kwenye biashara gani mkuuVery very true mkuu....kwa mwenye Akili sahv Maisha yanazidi kuwa marahisi ....
...very true mpaka unaona sasa utu wako unaondokaHayajakukuta tu watu wana resign kazi ya mshahara mil 10 kwa mwezi kuna vitu unafanyiwa kazini mpaka unasema basi inatosha
Hahaaahaa[emoji16][emoji16][emoji16]Hakuna Kitu huwa nachukia kwenye ajira Kama kunyenyekea, kujipendekeza na unafiki.
Mpo kwenye weekly au monthly meetings mbaba au mmama mzima anajipendekeza kwa bosi utadhani litoto
Yeah kikubwa tukumbuke kuweka akiba tunapopata kazi inayolipa vizuri ila kunyanyaswa kudharauliwa kisa tu uheshimike mtaani wakati moyoni hauna furaha inahitaji moyo sana....very true mpaka unaona sasa utu wako unaondoka
inategemea ndugu acha watu wafikie malengo kwa kupitia magumu! kuacha kazi na kuangaika kutafuta nyingne ni moja ya mapitio ya ugumu au mafanikio ya moja kwa moja! ukufanya kazi na utumwa vinashabiana japo si maana halisi..Huwezi kuwa mfanyakazi bila kuwa mtumwa
Swali zuri sana hili, nimefukuzwa kazi tangu may lakini mke wangu na watoto wangu wanakula vizuri tuu, hata kama mshahara ni 350k still unaweza ukaweka 75k kila mwezi kazi yako ukifanya miaka miwili minimum, trust me utakula, utakunywa na hela ya sadaka kila jumapili utakuwa nayo hata kama ukose kazi mwaka mzima, ni maamuzi tuuKwan mnakuaga hamuweki akiba
Ticha sijaelewa aseeSwali zuri sana hili, nimefukuzwa kazi tangu may lakini mke wangu na watoto wangu wanakula vizuri tuu, hata kama mshahara ni 350k still unaweza ukaweka 75k kila mwezi kazi yako ukifanya miaka miwili minimum, trust me utakula, utakunywa na hela ya sadaka kila jumapili utakuwa nayo hata kama ukose kazi mwaka mzima, ni maamuzi tuu
Nilikua naeleza faida za kuweka akiba pindi ukiwa kazini, ni maelezo kwa wale waliopoteza dira baada ya kuachishwa kaziTicha sijaelewa asee
Sahihi mkuuHabari wakuu!!
Huu ni ushauri kwa watu wote waliopo kwenye ajira sehemu mbali mbali serikalini au makampuni binafsi n.k,
Haiijarishi wewe ni polisi, mwanajeshi, Mwalimu, daktari, mhasibu, sekretari, mwandishi wa habari, kiongozi wa kisiasa, Modetator JF n.k hata kama unalipwa elfu moja kwa siku, heshimu sana kazi yako na ipende kama unavyompenda mke wako au watoto wako.
Siku ukipoteza hiyo kazi sio ajabu kujikuta unapoteza na vitu vingine vya muhimu kama vile mke, heshima, marafiki ndugu hata biashara uliyoamua kuianzisha nayo ikafa kifo cha mende,
Hakuna watu wanafiki kama walio maofisini, hakikisha hupotezi kazi baki huko huko na wanafiki wenzio maana siku utakapopoteza kazi hakuna atakayehangaika na wewe hapo ofisini kwako ulipo sasa ama huko utakakokuwa unapereka vyeti na CV zako narudia tena hakuna atakayehangaika na wewe,
Siku ukitaka kujitolea watapokea CV zako ulizotype na kuprint kwa pesa ya msaada kama umezipeleka private watakuambia watakupigia simu na hiyo ndio bye bye, kama ni serikalini hayupo Mkurugenzi, au mkuu yeyote atakayehangaika na makaratasi yako yatawekwa kwenye faili yaungane na barua za wenzako za mwaka juzi ambazo hazijajibiwa,
Haijarishi unalipwa laki moja au mbili kwa mwezi, haijarishi unalipwa mamilioni, haijarishi unatembea kwenye gari zuri la serikali au kampuni, nguvu uliyonayo sasa ndiyo inayokufanya uheshimike na kuchangamkiwa unapokwenda kikazi kwenye taasisi zingine,
Wasio na kazi au ajira hawajapenda au kutaka wawe hivo bali ni competition kali iliyopo mitaani
Kijana kama wewe ni boda boda umeoa unawatoto na unarisha familia heshimu sana hiyo kazi
Mwenye macho na asome kisha atafakari
Nawasilisha.
Acha waendelee kulala kwenye ajiraVery very true mkuu....kwa mwenye Akili sahv Maisha yanazidi kuwa marahisi ....
Mkuu inaonesha wazi wazi unayaogopa sana maisha.Habari wakuu!!