Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Japo ulichoandika ni sahihi chezea mshahara usichezee kaziWanaoijua hii ni wasio na ajira, bila shaka nawewe ni mmoja wao
Umenena vyema mkuu..Kazi nyingi za kuajiriwa siku ukiipoteza haupotezi kazi peke yake ila inapoteza na marafiki wote uliokutana nao kazini
Waheshimu sana marafiki uliokua nao kabla hujapata kazi usiwatenge hata baada ya kupata kazi kwakua wale ndo marafiki wa kweli siku ukiipoteza kaz utarud kuwatafuta tu , na wale marafik uliokutana nao kazin watakua wanakukwepa hata ukikutana nao njian na ukiwapigia sim hawatapokea au wakipokea stori inakua na mkatomkato anajua utampiga kizinga hata cha 10k au kumlilia njaa
Hii piga chini...wastage of timeNatarajia kuacha kazi ninayolipwa wastani wa 3300 kwa siku huku nikitegemea hiyo ndio Pesa ya kula, kodi, familia n.k.. Unanishaurije mkuu?
Mbona sasa huu wivu mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Ukweli mtupu,
Hawa walioajiriwa,ujanja na kutembea mbele ni kutokana na ajira walizo nazo,wakizipoteza,wanakuwa kama vichaa Bora hata sie ambao hatujawahi kuzipata hizo ajira,tumeishazoea maisha yetu ya kitaa,shahada na vyeti kapuni,tunapiga boda boda tu
Na hii ndio hali halisi makazini...kazini hakunaga marafiki, kuna wanafiki
put it in your mind
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji16]Fact 100%.
Ngoja nimrudie Dear Ex, maana alihustle na mimi sana.
Haahaaahaa[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]Kazi nzuri. Nikiona watu wa Dar wanaamka saa 10 za usiku kwenda kazini. Wanarudi nyumbani saa 4 za usiku. Mshahara laki 210,00 net pay. Kodi, ada za watoto, matibabu, chakula, wazazi wa mke wanaumwa wote wamekuja kutibiwa hapo kwako.
Unajiuliza nilimkosea nini Mungu, hupati jibu.
AhaahaaahaaKwamba mtu hana kazi alafu anatoboa!!
Mkuu hebu kuwa serious.
Ukweli mtupu huuKazi nyingi za kuajiriwa siku ukiipoteza haupotezi kazi peke yake ila inapoteza na marafiki wote uliokutana nao kazini
Waheshimu sana marafiki uliokua nao kabla hujapata kazi usiwatenge hata baada ya kupata kazi kwakua wale ndo marafiki wa kweli siku ukiipoteza kaz utarud kuwatafuta tu , na wale marafik uliokutana nao kazin watakua wanakukwepa hata ukikutana nao njian na ukiwapigia sim hawatapokea au wakipokea stori inakua na mkatomkato anajua utampiga kizinga hata cha 10k au kumlilia njaa
Hivi huwa ni kwanini mkuu? No love at all among staffs [emoji848]Always hamna urafiki kazini,do your duties and go home no one loves you
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kazi nzuri. Nikiona watu wa Dar wanaamka saa 10 za usiku kwenda kazini. Wanarudi nyumbani saa 4 za usiku. Mshahara laki 210,00 net pay. Kodi, ada za watoto, matibabu, chakula, wazazi wa mke wanaumwa wote wamekuja kutibiwa hapo kwako.
Unajiuliza nilimkosea nini Mungu, hupati jibu.
Unayo kazi ya kuingiza pesa zaidi ya hizo ?Natarajia kuacha kazi ninayolipwa wastani wa 3300 kwa siku huku nikitegemea hiyo ndio Pesa ya kula, kodi, familia n.k.. Unanishaurije mkuu?
Tatizo sio kwa hao mastaff bali tatizo ni kwa watu wenyewe.Hivi huwa ni kwanini mkuu? No love at all among staffs [emoji848]
Kiongozi imekuaje tena mpaka ukaja na mada kama hii πππHabari wakuu!!
Huu ni ushauri kwa watu wote waliopo kwenye ajira sehemu mbali mbali serikalini au makampuni binafsi n.k,
Haiijarishi wewe ni polisi, mwanajeshi, Mwalimu, daktari, mhasibu, sekretari, mwandishi wa habari, kiongozi wa kisiasa, Modetator JF n.k hata kama unalipwa elfu moja kwa siku, heshimu sana kazi yako na ipende kama unavyompenda mke wako au watoto wako.
Siku ukipoteza hiyo kazi sio ajabu kujikuta unapoteza na vitu vingine vya muhimu kama vile mke, heshima, marafiki ndugu hata biashara uliyoamua kuianzisha nayo ikafa kifo cha mende,
Hakuna watu wanafiki kama walio maofisini, hakikisha hupotezi kazi baki huko huko na wanafiki wenzio maana siku utakapopoteza kazi hakuna atalayehangaika na wewe hapo ofisini kwako ulipo sasa ama huko utakakokuwa unapereka vyeti na CV zako narudia tena hskuna atakayehangaika nawewe,
Siku ukitaka kujitolea watapokea CV zalo ulizotype na kuprint kwa pesa ya msaada kama umezipereka private watakuambia watakupigia simu na hiyo ndio bye bye, kama ni serikalini hayupo mkurugenzi, au mkuu yeyote atakayehangaika na makaratasi yako yatawekwa kwenye faili yaungane na barua za wenzako za mwaka juzi ambazo hazijajibiwa,
haijarishi unalipwa laki moja au mbili kwa mwezi, haijarishi unalipwa mamilioni, haijarishi unatembea kwenye gali zuri la serikali au kampuni, nguvu uliyonayo sasa ndiyo inayokufanya uheshimike na kuchangamkiwa unapokwenda kikazi kwenye taasisi zingine,
UMASIKINI HAUNA TOFAUTI NA MAKALIO YA MBWA!
Wasio na kazi au ajira hawajapenda au kutaka wawe hivo bali ni competition kali iliyopo mitaani
kijana kama wewe ni boda boda umeoa unawatoto na unarisha familia heshimu sana hiyo kazi
Mwenye macho na asome kisha atafakari
Nawasilisha.
Maisha hayana huruma yanatusurubu mtaani tunawakumbusha hawa wenzetuKiongozi imekuaje tena mpaka ukaja na mada kama hii πππ
Itakuwa kuna jambo haliko sawaπ si unajua zile za wife akilianzisha baada ya kukulisha week nzima hutoki ndaniπMkuu vipi kibarua kimeota nyasi?!