last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
Unaeza kuta JF nzima wapo 10 wa namna hiyo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu hakuna hata mmoja. Wenye level hizo wako bize ma mipango yao, hawana muda was kuja kutoa comments humu. Wakipata muda wa ziada wanaenda ibadani na wanafunua misahafu kumpa sifa Mungu. Maana ndiyo wanaostahili kumuabudu Mungu hao. Wengine siye ni tunapiga kelele tu makanisani na misikitiniUnaeza kuta JF nzima wapo 10 wa namna hiyo,
Me ndo napenda hiviUsicheze na mwenye pesa, hapo aliona tu kiwanja na kimkabidhi contractor na interior designer
Mie nadhani tunapaswa tumshukuru Mungu hata kwa kile alichokujalia,iwe stoo km watu wanavyosema hapo, iwe zaidi ya hiyo ama iwe vyovyote vile unapaswa kumshukuru Mungu kwa hali uliyo nayo
Ni kweli mkuu, maskini huwa wana vijimaneno vingi vya kujipa faja. Eti mshukuru Mungu kwa uhai? Kwani funza, jongoo, nguchiro na mende hawana uhai? Mbona hawaendi nyumba za ibada kumshukuru Mungu?
Hahahaha, ex darling nimecheka asee!!Kwahiyo sisi tunaolala stoo hatutakiwi hata kumtaja Mungu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hahahaha, dah! Leo ni good Friday sio! Yaani we mtoto!!Yaani nikiamka mali zangu zooote naziona, jiko langu la mkaa,ndoo ya kuogea na kopo lake,mkaa,begi la nguo,viatu na vyombo.
Sasa sijui natakiwa nimshukuru nani[emoji134][emoji134][emoji134]
heeeee eeyanini kupendezesha macho kuinyima raha nafsi na waswas hata kwa wageni wajao kutembea
Hutakiwi kula nyama kabisa, hivi supu nayo ni nyama?Hahahaha, dah! Leo ni good Friday sio! Yaani we mtoto!!
Ex darling kuna watu wanaishi nasi tunawasindikiza tu.Hahahaha, ex darling nimecheka asee!!
Nasikia eti hata supu hatuli/hatunywi..haha ila nishapiga!!Hutakiwi kula nyama kabisa, hivi supu nayo ni nyama?
Hakika best, yaani sisi tunasindikiza wanoishi pepo ya dunia. Haiwezekani sebule ipo hivyo halafu sisi tunaishi chumba, jiko, sebule, store vyote hapo hapo.Ex darling kuna watu wanaishi nasi tunawasindikiza tu.
Muwe mnakua na huruma ya watakao sona post zenu za masihara,Yaani nikiamka mali zangu zooote naziona, jiko langu la mkaa,ndoo ya kuogea na kopo lake,mkaa,begi la nguo,viatu na vyombo.
Sasa sijui natakiwa nimshukuru nani[emoji134][emoji134][emoji134]