Kama umefikia stage hii ya maisha, mshukuru Mungu

Kama umefikia stage hii ya maisha, mshukuru Mungu

Unaeza kuta JF nzima wapo 10 wa namna hiyo,
Humu hakuna hata mmoja. Wenye level hizo wako bize ma mipango yao, hawana muda was kuja kutoa comments humu. Wakipata muda wa ziada wanaenda ibadani na wanafunua misahafu kumpa sifa Mungu. Maana ndiyo wanaostahili kumuabudu Mungu hao. Wengine siye ni tunapiga kelele tu makanisani na misikitini
 
Dada Sky Eclat; hii stage ni ya kitajiri kabisa. Katika watu masikini hutahesabiwa.

Yapo mengi mno ya kumshukuru Mungu kabla hujaifikia hiyo stage.

Tuliwahi kuwa na matembezi ya kutembelea hospitali tatu za wilaya tofauti tofauti. Wenyeji wetu walitupitisha chumba kwa chumba tukaona matatizo ya watu wengine.

"Nilidhani huwa namshukuru Mungu kwa mafanikio yangu, kumbe kuna zaidi ya kumshukuru Mungu kabla hujatazama vitu ulivyonavyo".

Ni kauli ya mmoja kati ya mabosi hao, baada ya kuona thamani ya uhai wao wakiwa salama.

Anyway, hongera sana kwa mafanikio hayo boss lady.
 
Sasa kama ulicho nacho sasa hushukuru, unadhani ukiwa na hivyo ndio utashukuru!?...


Leo umeamua kuwa kwenye feeds tu.
 
Huyu mwanamama leo upepo wa shetani umempitia tu.. Wabongo tunasema hivyo mtu mzima akizingua.
Mie nadhani tunapaswa tumshukuru Mungu hata kwa kile alichokujalia,iwe stoo km watu wanavyosema hapo, iwe zaidi ya hiyo ama iwe vyovyote vile unapaswa kumshukuru Mungu kwa hali uliyo nayo
 
Mwenyewe ndio unajiona mjaaaanja ee...

Nenda kutembelee Muhimbili siku moja uone uhai na uzima unamaana gani duniani...

Mtu akisema tushukuru kwa uhai haimaanishi ni masikini, uhai ni chansi nyingine ya wewe kupambana.

Acha fikra hasi.
Ni kweli mkuu, maskini huwa wana vijimaneno vingi vya kujipa faja. Eti mshukuru Mungu kwa uhai? Kwani funza, jongoo, nguchiro na mende hawana uhai? Mbona hawaendi nyumba za ibada kumshukuru Mungu?
 
Yaani nikiamka mali zangu zooote naziona, jiko langu la mkaa,ndoo ya kuogea na kopo lake,mkaa,begi la nguo,viatu na vyombo.
Sasa sijui natakiwa nimshukuru nani[emoji134][emoji134][emoji134]
Hahahaha, dah! Leo ni good Friday sio! Yaani we mtoto!!
 
Hii ni level ya juu kabisa katika maisha yetu hapa duniani, ukiona ndani(interior design)kupo hivyo, ujuwe exterior design ni mziki mnene pia.

Tupambane, ila wengi tupo mbali(binafsi hata sidhani na sidhani tena[emoji23]) kufikia hapo, its a milestone na naamini ni watanzania wachache mno wamefika hapo.

Nilienda moshi kwa jamaa mmoja anamiliki mabasi ya abiria, damn it...Ila nae bado sana kufikia hapo, huenda pia sio kipaumbele chake.
 
Ex darling kuna watu wanaishi nasi tunawasindikiza tu.
Hakika best, yaani sisi tunasindikiza wanoishi pepo ya dunia. Haiwezekani sebule ipo hivyo halafu sisi tunaishi chumba, jiko, sebule, store vyote hapo hapo.

Ndio maana huwa nasema Mungu mwenye upendo wote ajitafakari sana, sorry!!
 
Yaani nikiamka mali zangu zooote naziona, jiko langu la mkaa,ndoo ya kuogea na kopo lake,mkaa,begi la nguo,viatu na vyombo.
Sasa sijui natakiwa nimshukuru nani[emoji134][emoji134][emoji134]
Muwe mnakua na huruma ya watakao sona post zenu za masihara,

Mjue kicheko huwa kinaua

Eti ukiamka tuu usingizini unaziona mali zako zooooote kasoro choo
 
Back
Top Bottom