OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Aise na wewe mbuzi wa arse8 unasubiri ajira🤣🤣🤣🤣Nimebahatika kua kwenye panel ya recruitment.
Nimefanyia usaili watu wana miaka 35 mpaka 38 na pamoja na yote ni kwamba mshahara ni wa kawaida tu.
Plan B kujiajiri siyo rahisi kama mabosi wa JF mnavyoandika
Mkuu ishu ni mtazamo. Kujiajiri ni muhimu zaidi. Nasisitiza ishu ni mtazamo hasikwsmbie mtu mambo ya mtaji,anzia kichwani.Nimebahatika kua kwenye panel ya recruitment.
Nimefanyia usaili watu wana miaka 35 mpaka 38 na pamoja na yote ni kwamba mshahara ni wa kawaida tu.
Plan B kujiajiri siyo rahisi kama mabosi wa JF mnavyoandika
Mkuu kwenye familia au ukoo wenu wote wamejijiri..Siyo rahisi kivipi? Acheni uvivu.
Kama hujaelewa nilichomaanisha mi sina cha kukusaidiaWewe recruiter na hao vijana wote mnafanana mawazo tegemezi.
Kwani waliojiajiri wamewezaje?
Kwa hiyo unawashauri wasipopata ajira wakae tu nyumbani na kulaumu wanasiasa.
Huo ni mfumo wa kizamani sana.
Yaani mimi nafanyia watu interview halafu nasubiri ajiraAise na wewe mbuzi wa arse8 unasubiri ajira🤣🤣🤣🤣
Mi nishajiajiri sana mkuuMkuu ishu ni mtazamo. Kujiajiri ni muhimu zaidi. Nasisitiza ishu ni mtazamo hasikwsmbie mtu mambo ya mtaji,anzia kichwani.
Si bongo hii ,tusidanganyane hapa . Hii iko applicable nchi za wenzetu kwenye fursa na mazingira Bora ya kujiajiri in almost kila kitu , si nchi za kijinga kama Tanzania hii , never .Acheni vijana wapambane kusaka ajira aisee ,kama ni kujiajiri kirahisi hivyo hawa machinga wanaosafa rumba mitaani miaka na miaka wangekuwa mamilionea sasa hivi .Nchi zetu hizi ni za ovyo kila Kona ,tukubali tukataeHata kama umepata kazi hiyo Plan B ni muhimu, waliofanikiwa hawakutegemea tu mshahara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe kalisha makalia hapo endelea kusubiri ajira ikutoe kwenye huo umasikini wako.Mkuu kwenye familia au ukoo wenu wote wamejijiri..
Tutolee pumba zako hapa.
Jamaa umeongea vitu vikubwa sana na wachache ndio watakao kuelewa buti ngumu kumeza ni hii, mtaji utaupata wapi,Wadogo zangu ambao mnaosoma huu Uzi ambao mpo katika harakati za kutafuta kazi ukiona umefika umri wa miaka 30 hujapata kazi nakushauli achana na mambo ya kutafuta kazi na anza kufanya plan b kama ni kilimo,ufugaji,biashara uanze kutengeneza maisha yako badae mapema usisubili time its too late ndo uanze
Sasa hivi mambo ya kutegemea kuajiriwa ndio uanze kutengeneza maisha yako ya badae ni sawa na kucheza mchezo wa kamali hujui kama utapata au utakosa hivyo ni bora uanze mapema kujiajiri kuliko kutegemea kuajiriwa katika haya ninayoyasema kuna watu hawawezi kunielewa lakini nawambia katika hili eneo ukizembea tuu huku mbeleni ukiwa katika age kuanzia 40 ukifikisha na hakuna jambo lolote ulilifanya katika maisha yako utaumia sana, kibaya zaidi ajira zenyewe zinaenda na umri kuna age ukifika unaweza ukawa na vigezo vya kuajiriwa ila umri kikwazo lakini pia hapo utakuja kushanga wale madogo waliokuwa wanakuita sister au braza wamepiga hatua na wewe uko pale pale na story zile zile kuna mchongo nausikikilizia tangu miaka hiyo madogo wako zako wako wadogo hadi wanakuwa unawapigia story zile zile kuna kazi au mchango nausikilizia
Huku ukiwapiga vibomu vya hela na usipopewa unaona kama wamekunyima unaanza kuwakunjia ngita
Ushauli wadogo zangu amkeni mapema muanze kujitafutia haya kutegemea ajira na watu wanaokujua wakusaidie yatakuja kukupa shida huku mbeleni usipokuwa kitu na hata una elimu yako utadhalilika tuu
Mkuu kwenye kujiajiri kitu cha kwanza ni business idea creation.Jamaa umeongea vitu vikubwa sana na wachache ndio watakao kuelewa buti ngumu kumeza ni hii, mtaji utaupata wapi,
je mazingira ya serikali ni rafiki kwa vijana wanaoanza kuweza kufungua biashara au kilimo,
Nchi hii ni ngumu sana asikwambie mtu
Unashangaa 30 kuna brother mmoja alisota home mpaka 40 ndio akaja kubahatika kupata kazi kiwandani, kipindi hicho sisi tunasoma tulikua tunamuona km mtu wa ajabu sana umri unaenda daily unazungusha bahasha hola kipindi hicho hakuna ajira portal ila sasa hivi ndio tumemuelewa, mda huu yeye kashapiga hatua kitambo na kashasahau msoto30 uwe nyumbani,duuh! anyway hapo ni kupalangana tu,ajira ikukute una chochote,japo inabidi ujipinde haswa,kupata mtaji stahki.
Ngumu kumeza akili kumkichwa namkumbuka mzee wangu (Babu) alinisihi sana akaniambia akili za 'Kuambiwa' (Jina la dada yangu) ambatanisha na za kwako..Mkuu kwenye kujiajiri kitu cha kwanza ni business idea creation.
Pesa ya mtaji ni kitu cha mwisho na hii ndio siri ambayo wengi hawaijui.
Utakuta mtu amekaa tu nyumbani kabweteka huku anajiuliza maswali,sasa kwa mfano nikijiajiri mtaji nitapata wapi mwishoni anakata tamaa.