Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Kwanza Uzi huu hausemi Viongozi wameshindwa, lengo ni kujaribu kutatua changamoto tukwa hili jibu lako unafikiri ikiwa chama chako kinashindwa kuwajibika kwa vitu tu vidogo hivyo itakuwaje wakipewa nchi,wataweza kutatua changamoto zakitaifa...?
Sawa bisha ila ukweli mnaujua msilete huruma kwenye haya mamboSi kweli
Tatizo la CHADEMA hawajielewi. Hivyo tu inatosha Mimi kutowapa kura yanguMh! kwanini hao mawakala wenu wasiwasiliane wao na uongozi mahali husika mpk wasemewe!,na vipi mahali husika viongozi wenu kwani wanakuwa hawajui kuwa kuna mawakala hivyo watahitaji uangalizi...??
Acha kuchafua hali ya hewa ,chadema ndio mdudu gani hapa nchini?Yeyote aliyeona Kwenye Kituo chochote Tanzania labda Hakuna Wakala wa Chadema, Basi atoe Taarifa kupitia Uzi huu (Siyo PM), Mimi nitawasiliana na Viongozi wa Chadema kwa njia mbalimbali na kuwapa Taarifa haraka iwezekanavyo.
Au kama umemkuta Wakala wa Chadema ana shida yoyote kituoni hapa, iwe fedha au Chakula lete Taarifa hapa hapa tutawajulisha Viongozi wake haraka.
Chadema ina zaidi ya Wanachama mil 15 walio hai Nchi Nzima(Kwa mujibu wa Chadema Digital), ,hakuna sababu yoyote ile ya kukosa Wakala popote pale, na wala hakuna sababu yoyote ya Wakala wao kukosa hela au Chakula.
Soma Pia:
Ikumbukwe kwamba hii siyo Special Thread, Ni uzi tu mfupi kwa ajili ya Uchaguzi wa serikali za Mitaa, Na wala kutoa Taarifa kama hizi siyo Kosa Kisheria, hivyo huna haja ya kuogopa chochote, Usikalie Taarifa.
- Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
- Ado Shaibu: Wasimamizi wa vituo vya uandikishaji wapiga kura kuwanyima mawakala kujua idadi ya waliojiandikisha ni bomu
Nakala: Boniface Jackob, Mwenyekiti Kanda ya Pwani
Unao Ubongo?Acha kuchafua hali ya hewa ,chadema ndio mdudu gani hapa nchini?
Katani kwangu hata Hao wanachama wenyewe hawapo.Tatizo mnapeana matango pori kwa kujidanganya kuna wanachama kila Kona wakati kiuhalisia icho kitu hakipo. Ruksa kunikosoaMh! kwanini hao mawakala wenu wasiwasiliane wao na uongozi mahali husika mpk wasemewe!,na vipi mahali husika viongozi wenu kwani wanakuwa hawajui kuwa kuna mawakala hivyo watahitaji uangalizi...??
Kwa hiyo ndg unatutaka tukifika kwenye kujiandikisha lazima tuulizie kwanza wakala wa CDM kama yupo!? Na kama hayupo tukupe taarifa au siyo!!??Yeyote aliyeona Kwenye Kituo chochote Tanzania labda Hakuna Wakala wa Chadema, Basi atoe Taarifa kupitia Uzi huu (Siyo PM), Mimi nitawasiliana na Viongozi wa Chadema kwa njia mbalimbali na kuwapa Taarifa haraka iwezekanavyo.
Au kama umemkuta Wakala wa Chadema ana shida yoyote kituoni hapa, iwe fedha au Chakula lete Taarifa hapa hapa tutawajulisha Viongozi wake haraka.
Chadema ina zaidi ya Wanachama mil 15 walio hai Nchi Nzima(Kwa mujibu wa Chadema Digital), ,hakuna sababu yoyote ile ya kukosa Wakala popote pale, na wala hakuna sababu yoyote ya Wakala wao kukosa hela au Chakula.
Soma Pia:
Ikumbukwe kwamba hii siyo Special Thread, Ni uzi tu mfupi kwa ajili ya Uchaguzi wa serikali za Mitaa, Na wala kutoa Taarifa kama hizi siyo Kosa Kisheria, hivyo huna haja ya kuogopa chochote, Usikalie Taarifa.
- Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
- Ado Shaibu: Wasimamizi wa vituo vya uandikishaji wapiga kura kuwanyima mawakala kujua idadi ya waliojiandikisha ni bomu
Nakala: Boniface Jackob, Mwenyekiti Kanda ya Pwani
hili jibu lako la "si kweli" limeilenga ccm au chadema mkuu au vyote?Si kweli
Kama wameshindwa kuweka wakala mmoja tu kwa kituo je kuweka watu sita kugombea nafasi sita za uongozi wa mtaa katika kila mtaa nchi nzima wataweza?Huu ni mwanzo tu bado wagombea sidhani kama wataweka wagombea nchi nzima
Una haki ya kuuliza kuhusu mawakala wa vyamaKwa hiyo ndg unatutaka tukifika kwenye kujiandikisha lazima tuulizie kwanza wakala wa CDM kama yupo!? Na kama hayupo tukupe taarifa au siyo!!??
Kwani Ruzuku ya uchaguzi si imetoka kutoka kwa Msajili!!??Mnawalipa au ni kukaa tu
Wanalipwa Ruzuku hawana umasikini huo!!CHADEMA umaskini utawauwa
USSR
Nimeona kwa macho yangu kabisa wakati na jiandikisha mawakala wa CCM wanaulizwa wale wa ugali ngapi na wale wa wali ngapi!? Nikatania kidogo nami niagize nikaambiwa poa agiza,sema wife akasema tuondoke, la sivyo ningekua peke yangu kipunga cha CCM ninge kipiga live!! CDM hata karibu hawana!!Tanzania nzima vituo vya kuandikisha wapiga kura havina mawakala wenu
Mmechelewa sana ccm mawakala wao ni walimu posho imetembea mno
Je nyie mawakala wenu mnawapa nini au wanajitolea tu? Tengeni mafungu kabla kuingia kwenye mambo kama haya enzi za kujitolea zimepitwa na wakati
Poleni
Yeyote aliyeona Kwenye Kituo chochote Tanzania labda Hakuna Wakala wa Chadema, Basi atoe Taarifa kupitia Uzi huu (Siyo PM), Mimi nitawasiliana na Viongozi wa Chadema kwa njia mbalimbali na kuwapa Taarifa haraka iwezekanavyo.
Au kama umemkuta Wakala wa Chadema ana shida yoyote kituoni hapa, iwe fedha au Chakula lete Taarifa hapa hapa tutawajulisha Viongozi wake haraka.
Chadema ina zaidi ya Wanachama mil 15 walio hai Nchi Nzima(Kwa mujibu wa Chadema Digital), ,hakuna sababu yoyote ile ya kukosa Wakala popote pale, na wala hakuna sababu yoyote ya Wakala wao kukosa hela au Chakula.
Soma Pia:
Ikumbukwe kwamba hii siyo Special Thread, Ni uzi tu mfupi kwa ajili ya Uchaguzi wa serikali za Mitaa, Na wala kutoa Taarifa kama hizi siyo Kosa Kisheria, hivyo huna haja ya kuogopa chochote, Usikalie Taarifa.
- Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
- Ado Shaibu: Wasimamizi wa vituo vya uandikishaji wapiga kura kuwanyima mawakala kujua idadi ya waliojiandikisha ni bomu
Nakala: Boniface Jackob, Mwenyekiti Kanda ya Pwani
Unaomba msaada, unapewa msaada alafu unakataa huo msaada!Si kweli
Tujitahidi kujikita kwenye hoja, uzi umejieleza vizuri mno, malumbano ya nini tena?Unaomba msaada, unapewa msaada alafu unakataa huo msaada!
Sasa kama si kweli, huu uzi una maana gani?
Ulichotakiwa kufanya ni kuomba ufafanuzi ili uweze kufanyia kazi taarifa husika maana wewe haupp tanzania nzima
Unaweza kuja na list ya vituo vyenye mawakala wenu Tanzania nzima na ukaomba wanachama wawasaidie kama hakutakuwa na wakala wawape taarifa ili mchukue hatua
Ukijaza ubishi kichwani na mashindano plus ujuaji, sidhani kama huu uzi utafikia lengo