LGE2024 Kama umekuta kituo cha Kuandikisha Wapiga kura hakina Wakala wa Chadema Toa Taarifa kupitia uzi huu, nitafikisha kwa Wahusika

LGE2024 Kama umekuta kituo cha Kuandikisha Wapiga kura hakina Wakala wa Chadema Toa Taarifa kupitia uzi huu, nitafikisha kwa Wahusika

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Weka namba yako ya simua
0743014032 ni dar tu au nchi nzima kama ni kwa dar tu usinichek mana mi nipo mikoa mitatu songea makambako njombe mbeya uyole hiz sehem nipo muda wote so nina taarifa za kutosha ila ianze pesa mana naweza kukutajia ukavijua na hela usitume taarifa ni za uhakika ufeli wewe kuzifanyia kaz
 
chadema ni matajiri wa mihemko na malalamiko tu gentleman, hakuna wanachoweza zaidi ya hapo...

viongozi wao sasa 🤣
moja ni kibaraka ombaomba, na mwingine anakunywa huyo dah!🐒

wanachama wao wananatukana hao aiseee...
Lakni hakuna anaeteka wapinzani wao, huwo utajiri wa ccm ni miongoni mwa kodi za wananchi na misaada ili mtekeleze uhayawani na ujambazi.
 
Lakni hakuna anaeteka wapinzani wao, huwo utajiri wa ccm ni miongoni mwa kodi za wananchi na misaada ili mtekeleze uhayawani na ujambazi.
muhimu zaidi chadema acheni mambo ya kishirikina, ramli chonganishi, kutoana kafara na kuchukuana misukule halafu mnasingizia sijui nini huko..

uongozi ni sera na mipango bana :pulpTRAVOLTA:
 
Ni mungu wenu wa dini zenu mbili pamoja na shetani ambao hawapendi kukosolewa, na ndio wanaowaita wakosoaji "wapinzani".
mbona umepanic sasa gentleman, relax bana :pedroP:

na nadhani unafahamu kwamba,
ukosoaji with no impacts ni makelele useles na nonsense kabisa, right?:pulpTRAVOLTA:
 
Kuanzia jumamosi nimepita vituo vya Arumeru, Monduli, Karatu, Babati, Kondoa na Kiteto vituo vingine hakuna mawakala wa CHADEMA hata CCM kuna maeneo hawapo
 
Tanzania nzima vituo vya kuandikisha wapiga kura havina mawakala wenu
Mmechelewa sana ccm mawakala wao ni walimu posho imetembea mno
Je nyie mawakala wenu mnawapa nini au wanajitolea tu? Tengeni mafungu kabla kuingia kwenye mambo kama haya enzi za kujitolea zimepitwa na wakati
Poleni
Hata CCM hawajalipwa asee, wanapewa posho na Wenyeviti wa serikali za mitaa, nimefuatilia sn kwa Wilaya zaidi ya 6 Arusha, Manyara na Dodoma
 
Mh! kwanini hao mawakala wenu wasiwasiliane wao na uongozi mahali husika mpk wasemewe!,na vipi mahali husika viongozi wenu kwani wanakuwa hawajui kuwa kuna mawakala hivyo watahitaji uangalizi...??
Nadhani alichoanzisha ni kizuri sababu sisi tunampa mrejesho ili awasilishe taifa
 
Back
Top Bottom