Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Umeelewa mada?Chadema na upuuzi wao tangu lini wakaweka mawakala vituoni... Mbowe kazi yake kula pesa za chama...
Mie nimekuta wa CCM tu.Vituo nilivyopita Mimi havina wakala yeyote wa chama chochote, kuna mwandishi tu, au sijui niko Burundi
0743014032 ni dar tu au nchi nzima kama ni kwa dar tu usinichek mana mi nipo mikoa mitatu songea makambako njombe mbeya uyole hiz sehem nipo muda wote so nina taarifa za kutosha ila ianze pesa mana naweza kukutajia ukavijua na hela usitume taarifa ni za uhakika ufeli wewe kuzifanyia kazWeka namba yako ya simua
Lakni hakuna anaeteka wapinzani wao, huwo utajiri wa ccm ni miongoni mwa kodi za wananchi na misaada ili mtekeleze uhayawani na ujambazi.chadema ni matajiri wa mihemko na malalamiko tu gentleman, hakuna wanachoweza zaidi ya hapo...
viongozi wao sasa 🤣
moja ni kibaraka ombaomba, na mwingine anakunywa huyo dah!🐒
wanachama wao wananatukana hao aiseee...
muhimu zaidi chadema acheni mambo ya kishirikina, ramli chonganishi, kutoana kafara na kuchukuana misukule halafu mnasingizia sijui nini huko..Lakni hakuna anaeteka wapinzani wao, huwo utajiri wa ccm ni miongoni mwa kodi za wananchi na misaada ili mtekeleze uhayawani na ujambazi.
Hata Mimi nimeshangaa.kumbe sehemu zingine wapo wengi! Hapa nilipo yupo mmoja tu,Tena sijui kama ni mwanachama wa chama gani.nilijua labda ametoka office ya mtendaji.Vituo nilivyopita Mimi havina wakala yeyote wa chama chochote, kuna mwandishi tu, au sijui niko Burundi
Lete ushahidi hata wa picha tu ili niamini hayo unayoyasema.muhimu zaidi chadema acheni mambo ya kishirikina, ramli chonganishi, kutoana kafara na kuchukuana misukule halafu mnasingizia sijui nini huko..
uongozi ni sera na mipango bana
hq wanazo picha zote chek nao ila uwe makini usije kua kafaraLete ushahidi hata wa picha tu ili niamini hayo unayoyasema.
Vitaje kwa maslahi ya taifa letu ili viongozi wachukue hatua.Vituo nilivyopita Mimi havina wakala yeyote wa chama chochote, kuna mwandishi tu, au sijui niko Burundi
Nikikuhakikishia kuwa mimi ni CCM tena hapa Makao Makuu - Nyumba Nyeupe, utaendelea kuniita mpinzani!!??wapinzani wamevamiwa na mapepo ya kulalamika tu kila 🤣
nani atawachagua sasa mnalalamika hivyo 🐒
gentleman,Nikikuhakikishia kuwa mimi ni CCM tena hapa Makao Makuu - Nyumba Nyeupe, utaendelea kuniita mpinzani!!??
Ni mungu wenu wa dini zenu mbili pamoja na shetani ambao hawapendi kukosolewa, na ndio wanaowaita wakosoaji "wapinzani".gentleman,
huenda wewe ni wale mamluki useless, with no impact, whether uwepo au usiwepo mahali fulani
mbona umepanic sasa gentleman, relax banaNi mungu wenu wa dini zenu mbili pamoja na shetani ambao hawapendi kukosolewa, na ndio wanaowaita wakosoaji "wapinzani".
Hata CCM hawajalipwa asee, wanapewa posho na Wenyeviti wa serikali za mitaa, nimefuatilia sn kwa Wilaya zaidi ya 6 Arusha, Manyara na DodomaTanzania nzima vituo vya kuandikisha wapiga kura havina mawakala wenu
Mmechelewa sana ccm mawakala wao ni walimu posho imetembea mno
Je nyie mawakala wenu mnawapa nini au wanajitolea tu? Tengeni mafungu kabla kuingia kwenye mambo kama haya enzi za kujitolea zimepitwa na wakati
Poleni
Hatari snNi mungu wenu wa dini zenu mbili pamoja na shetani ambao hawapendi kukosolewa, na ndio wanaowaita wakosoaji "wapinzani".
Kingine Makatibu/Mwenyeviti wa CHADEMA haswa vijijini hawafanyi kazi yao vizuri kwa utafiti wangu lakini wa siku 3Una taarifa yoyote kuhusu Wakala wa Chadema?
CHADEMA wafuatilie vijijini maeneo mengi hakuna mawakala Arumeru, Monduli, Karatu, Babati, Kondoa na Kiteto hii nimejionea mwenyeweKuna vituo vingi ambavyo havina hao mawakala
Kesho nenda Temeke mtaa mji mpya barabara ya laa Leo
Nadhani alichoanzisha ni kizuri sababu sisi tunampa mrejesho ili awasilishe taifaMh! kwanini hao mawakala wenu wasiwasiliane wao na uongozi mahali husika mpk wasemewe!,na vipi mahali husika viongozi wenu kwani wanakuwa hawajui kuwa kuna mawakala hivyo watahitaji uangalizi...??