LGE2024 Kama umekuta kituo cha Kuandikisha Wapiga kura hakina Wakala wa Chadema Toa Taarifa kupitia uzi huu, nitafikisha kwa Wahusika

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Sidhani kama kuweka wakala kunasadia chochote kwasababu hivyo vitabu wanachapa wao waandikishaji wamewaajiri wao sasa wakitaka kufanya chochote wanaweza wakafanya. Kitu kikubwa ninachokiona uchaguzi huu hauna mwamko kabisa kwa upande wavijana waupinzani ukilinganisha na uchaguzi wa 2014/2015 na 2019/2020 vijana wamekatishwa tamaa sana na mambo ya hovyo ambayo yamefanywa na wagombea wa upinzani kukubali kununuliwa wakati vijana waliwapigania mpaka wengine kuuwa nakufungwa magerezani. Upinzani unapaswa uwahakikishea wananchi kuwa hili kama siyo daraja la wao kujipatia umaarufu na mitaji.
 
Wewe uliyesema hayo kwasababu unasema kwa uhakika ndio ulete huwo ushahidi wa picha na sio niwambie wao.
fanya mzaha na jichanganye kuonja sumu kwa ulimi utasahaulika πŸ’
 
Mawakala wa ccm ni walimu! Wanalipwa na serikali! Kupitia kodi ztu!? No wonder... !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…