NyegereBOY
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 225
- 328
- Thread starter
-
- #21
Kuna DSA ( direct sales agent ) na Kuna DSA TL (team leader wa dsa) mimi ni TL sina utofauti na dsa wote tunatafuta watejaNimejifunza jambo kumbe wewe ndo DIRECT SALES AGENT na wale wanaotembea mtaani wanataka kutuunganisha wanaitwaje? Wanakua chini yako?
AlooHii ni kweli binafsi natumia Cha gb 35 kwa ef 30 nlichagua data plan
Yoyote mkuuTIN ya biashara? Au hata hii tunayolipia PAYE?
Aloo
Good for you.
Voda mbwaa
Elf 35 gb 12 na dk 1000
tar 8 jana jmos asbh gb zikaisha.. nikaweka tena za 10k. Ndo natembelea nazo sa
Kumbe watu mnakula mema ya nchi na hamsemi?NyegereBOY Mimi nataka kuupgrade hiki cha combo kwasasa natumia package ya zamani ya gb 7 dkk kibao nikitaka hiki kipya cha gb10 dkk 400 nafanyaje
Unaweza kurekebisha laini ambayo ilikuwa na posypaid yenye data plan ndogo kuwa kubwa? mimi nilikua na dataplan ya @30k GB 19.5 baada ya ofisi zenu kuleta ubabaishaji katika kuniunganishia kwa wakti nikaacha kulipa hivyo kupelekea laini yangu kugoma kufanya kazi.Karibu tigo Postpaid
NyegereBOY Mimi nataka kuupgrade hiki cha combo kwasasa natumia package ya zamani ya gb 7 dkk kibao nikitaka hiki kipya cha gb10 dkk 400 nafanyaje
Kuna mtu alinambia inatakiwa na lesen ya biasharaKaribu tigo Postpaid
karibu tukuunge mkuuKumbe watu mnakula mema ya nchi na hamsemi?
Haya yote ninayolazima uwe na laini ya tigo
chagua kifurushi ukipendacho chenye kukidhi mahitaji
lazim uwe na TIN number
lazima uwe na nida
Kuna mtu alinambia inatakiwa na lesen ya biashara
Nikaitema
Ni nzuri kama ni ya kweli. Wengine husema ni malipo baada ila ukiwafuata mfanye biashara anakuambia ni malipo kabla.Nzuri sana!
Naifanya mwenyewe? Au mpk assist yako?Boss iko namna😊
umeona eh1 tapeliMbona umejihami mapema hvo boss
Jiunge kasi ya voda unlimited kwa mwezi 50,000.Aloo
Good for you.
Voda mbwaa
Elf 35 gb 12 na dk 1000
tar 8 jana jmos asbh gb zikaisha.. nikaweka tena za 10k. Ndo natembelea nazo sahii
Kuna malipo lazima uwe nayo Mara ya kwanza nayo hurt wa SECURITY DEPOSIT /KILINDA AKAUNT nilazima uwe nayo na hufanana thamani na kifurushi ulichochaguaNi nzuri kama ni ya kweli. Wengine husema ni malipo baada ila ukiwafuata mfanye biashara anakuambia ni malipo kabla.
Mkuu vipi kuhusu speed ya InternetBoss iko namna😊
Kumbe nawe ni walewale. Mi nitakuamini vipi Mkuu?Kuna malipo lazima uwe nayo Mara ya kwanza nayo hurt wa SECURITY DEPOSIT /KILINDA AKAUNT nilazima uwe nayo na hufanana thamani na kifurushi ulichochagua