Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)

Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)

Karibu tigo Postpaid
Unaweza kurekebisha laini ambayo ilikuwa na posypaid yenye data plan ndogo kuwa kubwa? mimi nilikua na dataplan ya @30k GB 19.5 baada ya ofisi zenu kuleta ubabaishaji katika kuniunganishia kwa wakti nikaacha kulipa hivyo kupelekea laini yangu kugoma kufanya kazi.
Unaweza kuipandisha tena ikatumika kwa vifurushi hivi vipya maana mkataba uliopo una data chache.
 
Ni nzuri kama ni ya kweli. Wengine husema ni malipo baada ila ukiwafuata mfanye biashara anakuambia ni malipo kabla.
Kuna malipo lazima uwe nayo Mara ya kwanza nayo hurt wa SECURITY DEPOSIT /KILINDA AKAUNT nilazima uwe nayo na hufanana thamani na kifurushi ulichochagua
 
Kuna malipo lazima uwe nayo Mara ya kwanza nayo hurt wa SECURITY DEPOSIT /KILINDA AKAUNT nilazima uwe nayo na hufanana thamani na kifurushi ulichochagua
Kumbe nawe ni walewale. Mi nitakuamini vipi Mkuu?

Kwanini isiwe malipo ni baada ya kazi? Hiyo security ni hamtuamini sawa tu na vile sie hatuwaamini.
 
Back
Top Bottom