NyegereBOY
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 225
- 328
- Thread starter
- #21
Kuna DSA ( direct sales agent ) na Kuna DSA TL (team leader wa dsa) mimi ni TL sina utofauti na dsa wote tunatafuta watejaNimejifunza jambo kumbe wewe ndo DIRECT SALES AGENT na wale wanaotembea mtaani wanataka kutuunganisha wanaitwaje? Wanakua chini yako?