Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)

itawezekana hakikisha una vigezo vilivyobakia
TIN na NIDA ni nayo. Nataka hiyo ya GB 48 kwa Tshs 40,000. Vipi Tigo mtandao upo full 4G?

Naona voda wana leta upuuzi. Kifurushi cha wiki Tshs 3000 kinaisha baada masaa 8. Duuh.
 
Aisee, nataka na router ili nifunge pale home wife awe anaenjoy mchana. Router ni bei gan?
 
Iko hivi unalipia 50k then unapata gb24 kwa mwezi. Zikiisha utaendelea kupata internet ila kwa kasi ya chini lakini inatosha kuperuzi JF, Insta, Twitter nk

Ila bora uchukue hiko cha tigo postpaid kiko vizuri au kile Airtel SMEView attachment 2683137
Hapana zikiisha unaendelea kutumia kama kawaida sema kasi inapungua, ila sio kuperuzi jf, insta na twitter hata utube mavideoz kama kawa.
 
TIN na NIDA ni nayo. Nataka hiyo ya GB 48 kwa Tshs 40,000. Vipi Tigo mtandao upo full 4G?

Naona voda wana leta upuuzi. Kufurushi cha wiki Tshs 3000 kinaisha baada masaa 8. Duuh.
kabla hujalipia mkuu chukua laini ya tigo weka kwenye smart yako jinunulie bando hata la 500 chek speed ukiridhia lipia tukuunge mana sijui sehemu ulipo na coverage ya network mkuu ila huduma inapatikana maeneo yote tanzania kunakopatikana tigo/zantel
 
Ikoje hii?
Ipo kwny menu ya Voda kwny intaneti supa- kasi siku 30 unapatiwa gb 24 zikiisha unaendelea kutumia kama kawaida sema speed inapungua ni kwa mwezi mzima.
 
Sawa. Uko vzr kwa ushauri. Nashauri Tigo wakupandishe cheo. Nita kucheki baada ya siku 3 kwenye no yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…