Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 599
- 1,565
Sina leseni ya biashara,, hii imekaaje? Itaweza kufanikiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mkuu wana hitaji sijui leseni
Kuna vifurushi vya Aina tatuUkitaka kujitoa unafanyaje?
Nashauri hiko kifurushi cha data na dk 400 muongeze dakiki walau hata 800 kwa data 10gb. Fikisha ujumbe
Mm huja nijibu mkuu. Swali la leseni.Kuna vifurushi vya Aina tatu
VOICE ONLY
DATA ONLY
COMBO
hapo mkuu utapata mahitaji yote utakayo
itawezekana hakikisha una vigezo vilivyobakiaSina leseni ya biashara,, hii imekaaje? Itaweza kufanikiwa?
itawezekana hakikisha una vigezo vilivyobakiaMm huja nijibu mkuu. Swali la leseni.
Shukrani Umenyoosha maelezoHii huduma hata tigo shops wanatoa ila mleta mada anasaidia kwa kua wengi kigezo cha leseni ya biashara hawana. Hapo ndio anajua anavyofanya mpaka mtapata huduma
TIN na NIDA ni nayo. Nataka hiyo ya GB 48 kwa Tshs 40,000. Vipi Tigo mtandao upo full 4G?itawezekana hakikisha una vigezo vilivyobakia
Kashaa jibu, kasema tujijue na wakwetu, yeye yupo kwa ajili ya tigo pekee.!Nasubiria jibu hapa
Hapana zikiisha unaendelea kutumia kama kawaida sema kasi inapungua, ila sio kuperuzi jf, insta na twitter hata utube mavideoz kama kawa.Iko hivi unalipia 50k then unapata gb24 kwa mwezi. Zikiisha utaendelea kupata internet ila kwa kasi ya chini lakini inatosha kuperuzi JF, Insta, Twitter nk
Ila bora uchukue hiko cha tigo postpaid kiko vizuri au kile Airtel SMEView attachment 2683137
Ndugu G.O.A.T kakujibu...ipo poa unatumia mwezi mzima matumizi yote.How?? Nielekeze
kabla hujalipia mkuu chukua laini ya tigo weka kwenye smart yako jinunulie bando hata la 500 chek speed ukiridhia lipia tukuunge mana sijui sehemu ulipo na coverage ya network mkuu ila huduma inapatikana maeneo yote tanzania kunakopatikana tigo/zantelTIN na NIDA ni nayo. Nataka hiyo ya GB 48 kwa Tshs 40,000. Vipi Tigo mtandao upo full 4G?
Naona voda wana leta upuuzi. Kufurushi cha wiki Tshs 3000 kinaisha baada masaa 8. Duuh.
Ipo kwny menu ya Voda kwny intaneti supa- kasi siku 30 unapatiwa gb 24 zikiisha unaendelea kutumia kama kawaida sema speed inapungua ni kwa mwezi mzima.Ikoje hii?
Sawa. Uko vzr kwa ushauri. Nashauri Tigo wakupandishe cheo. Nita kucheki baada ya siku 3 kwenye no yako.kabla hujalipia mkuu chukua laini ya tigo weka kwenye smart yako jinunulie bando hata la 500 chek speed ukiridhia lipia tukuunge mana sijui sehemu ulipo na coverage ya network mkuu ila huduma inapatikana maeneo yote tanzania kunakopatikana tigo/zantel
Sawa. Uko vzr kwa ushauri. Nashauri Tigo wakupandishe cheo. Nita kucheki baada ya siku 3 kwenye no yako.
Na ni lazima itokee tigopesa?Mimi nilienda tigo shop kuungwa, hyo security deposit ni lazma mkuu. Na inarudi ukimaliza mkataba wako.
lazima iwe kwenye tigo pesa na sio vocha mkuuNa ni lazima itokee tigopesa?
What if kwenye salio la vocha ndio Kuna hela sio tigopes
Thank you GOAT... only gb or na dk?Iko hivi unalipia 50k then unapata gb24 kwa mwezi. Zikiisha utaendelea kupata internet ila kwa kasi ya chini lakini inatosha kuperuzi JF, Insta, Twitter nk
Ila bora uchukue hiko cha tigo postpaid kiko vizuri au kile Airtel SMEView attachment 2683137