Wao Tigo wameweka vigezo vyao ila yeye mtu wa chini anakiuka utaratibu wa mwajiri wake na kuamua kupunguza baadhi ya hivyo vigezo. Hii imekaaje?sijakusaidia kujibu ila nawataadharisha hao unaowaambia bila leseni ya biashara inawezekana wasije kupiga ukunga huku, maana tigo wenyewe wanasema vigezo na masharti kuzingatiwa.
Vipi TIN ya Driving license inafaa?Yoyote mkuu
hii ipo simple tu just LEAVE IT OR DO IT mkuuWao Tigo wameweka vigezo vyao ila yeye mtu wa chini anakiuka utaratibu wa mwajiri wake na kuamua kupunguza baadhi ya hivyo vigezo. Hii imekaaje?
ndio mkuu inafaaVipi TIN ya Driving license inafaa?
Na hii ndiyo lugha yako ya customer care kwa possible customers wako?hii ipo simple tu just LEAVE IT OR DO IT mkuu
postpaid za vodacom zimeshiba na zinakasi balaaa bei yake ni kuanzia 100kSisi wa Vodacom mnatusaidiaje!?
Tafta Pesa Vodacom hawana gharama kweny bandleAloo
Good for you.
Voda mbwaa
Elf 35 gb 12 na dk 1000
tar 8 jana jmos asbh gb zikaisha.. nikaweka tena za 10k. Ndo natembelea nazo sahii
Malipo ni baada mm nina tigo na voda zote nalipia maad ya matumiziNi nzuri kama ni ya kweli. Wengine husema ni malipo baada ila ukiwafuata mfanye biashara anakuambia ni malipo kabla.
Vodacom wanayo ila Usiwe Mnyonge Supakasi yao ni 115k Unlimited dataVoda hakuna Mkuu
SahihiVodacom wanayo ila Usiwe Mnyonge Supakasi yao ni 115k Unlimited data
Ni unlimited mzee hakuna cha GB yaan ni free internet ukiwez iga ata GB 800 n wew na nguvu yako ya kupeleka GBSahihi
GB ngapi
Na Dakika ngapi mitandao yote
Iko vzr sanaNi unlimited mzee hakuna cha GB yaan ni free internet ukiwez iga ata GB 800 n wew na nguvu yako ya kupeleka GB
fursa fursana.Wao Tigo wameweka vigezo vyao ila yeye mtu wa chini anakiuka utaratibu wa mwajiri wake na kuamua kupunguza baadhi ya hivyo vigezo. Hii imekaaje?
Acha uongo.Jiunge kasi ya voda unlimited kwa mwezi 50,000.
Yes vodacom wanaAcha uongo.
Voda unlimited ni 120k shillings per month
Acha uongo.... lengo la kuanzishwa tigo Postpaid ili usitumie kifurushi cha week kwa siku au ha mwezi kwa week
Unajichanganya mwenyewe.Tafta Pesa Vodacom hawana gharama kweny bandle
Afu speed yao ni yakimondo
Tafta pesa uunge Unlimited data achana na mambo ya GB
Alooooh🙆🙆🙆🙆Yes vodacom wana
115k. Kasi ya 20Mbps
120 k kasi ya 30Mbps
150k kasi ya 50Mbps
200k kasi ya 100Mbps
Uongo wa nn sasa ww boya, mm sitangazi biashara hapa, ni huduma ninayoitumia kila mwezi.Acha uongo.
Voda unlimited ni 120k shillings per month
mkuu huwezi nifundisha kazi nafanya sales and marketing mwaka 8 unataka good costumer care just follow the rules other wise huwezi nielewa waulize niliowahudumia coz niko hapa kuhudumia mwenye uhitajisio mwenye negative mind anytime be a costumer care not easy as you think mkuu ulitaka nimwambie jibu lipi kama anaona njia nayo tumia sio sahihi it better akafanya yake sio kuja na negativeNa hii ndiyo lugha yako ya customer care kwa possible customers wako?