Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
How?? NielekezeJiunge kasi ya voda unlimited kwa mwezi 50,000.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How?? NielekezeJiunge kasi ya voda unlimited kwa mwezi 50,000.
Nakazia hapa...Nikilipia leo nitasubiri hadi tarehe 1 ndio muweke kifurushi?
hapana mkuu ni eidha u upgrade kifurushi utaweza kupata hivi vipya Kisha baadae uta downgradeUnaweza kurekebisha laini ambayo ilikuwa na posypaid yenye data plan ndogo kuwa kubwa? mimi nilikua na dataplan ya @30k GB 19.5 baada ya ofisi zenu kuleta ubabaishaji katika kuniunganishia kwa wakti nikaacha kulipa hivyo kupelekea laini yangu kugoma kufanya kazi.
Unaweza kuipandisha tena ikatumika kwa vifurushi hivi vipya maana mkataba uliopo una data chache.
hapana wakuu utawekewa kifurushi chako kuanzia tarehe uliojiunga mpaka mwisho wa mwezi ili tarehe moja uwek ewe kifurushi kamiliNakazia hapa...
Shukran sana kwa taarifa hii muhimu.hapana wakuu utawekewa kifurushi chako kuanzia tarehe uliojiunga mpaka mwisho wa mwezi ili tarehe moja uwek ewe kifurushi kamili
Mkuu vipi kuhusu speed ya Internet
huduma huchukua saa 72 kukamilishwa na ni siku za kazi mkuu hivo hakuna utapeli mana hakuna sehemu unatuma pesa yako kwa mtu kiongoziShukran sana kwa taarifa hii muhimu.
Kwa hiyo ukijiunga leo halafu ikapita, say, wiki hujaungwa ni wazi kuwa kuna ishara ya utapeli, sio?
Naifanya mwenyewe? Au mpk assist yako?
Watafute Vodacom hapa uliza yanayoihusu tigo tu.Sisi wa Vodacom mnatusaidiaje!?
eti nakusaidianakusaidia mkuu wewe hakikisha una detail zilizobaki tu na kulipia security deposit
Kama sina TIN nasaidikaje?lazima uwe na laini ya tigo
chagua kifurushi ukipendacho chenye kukidhi mahitaji
lazim uwe na TIN number
lazima uwe na nida
Ikoje hii?Jiunge kasi ya voda unlimited kwa mwezi 50,000.
hapana huna haja ya kusubiri utaungwa kuanzia hiyo tareheNikilipia leo nitasubiri hadi tarehe 1 ndio muweke kifurushi?
tin ni bure unaweza omba online mkuuKama sina TIN nasaidikaje?
Sawaatin ni bure unaweza omba online mkuu
Kasi ya internet ikoje? Mimi nitumia voda kwa sababu ya speed yake nia angalau ukilinganisha na mitandao mingine though sina uhakika na tiGO!Hii ni kweli binafsi natumia Cha gb 35 kwa ef 30 nlichagua data plan
Namba ya nida au driving L inatosha?hapana huna haja ya kusubiri utaungwa kuanzia hiyo tarehe