Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)

Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)

Unaweza kurekebisha laini ambayo ilikuwa na posypaid yenye data plan ndogo kuwa kubwa? mimi nilikua na dataplan ya @30k GB 19.5 baada ya ofisi zenu kuleta ubabaishaji katika kuniunganishia kwa wakti nikaacha kulipa hivyo kupelekea laini yangu kugoma kufanya kazi.
Unaweza kuipandisha tena ikatumika kwa vifurushi hivi vipya maana mkataba uliopo una data chache.
hapana mkuu ni eidha u upgrade kifurushi utaweza kupata hivi vipya Kisha baadae uta downgrade
 
Screenshot_20230706-184804.png
Sawa
 
hapana wakuu utawekewa kifurushi chako kuanzia tarehe uliojiunga mpaka mwisho wa mwezi ili tarehe moja uwek ewe kifurushi kamili
Shukran sana kwa taarifa hii muhimu.

Kwa hiyo ukijiunga leo halafu ikapita, say, wiki hujaungwa ni wazi kuwa kuna ishara ya utapeli, sio?
 
Hii ni kweli binafsi natumia Cha gb 35 kwa ef 30 nlichagua data plan
Kasi ya internet ikoje? Mimi nitumia voda kwa sababu ya speed yake nia angalau ukilinganisha na mitandao mingine though sina uhakika na tiGO!
 
Back
Top Bottom