Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)

Namba ya nida au driving L inatosha?
vitu vinavyohitajika vya lazima
1) namba ya simu ya tigo
2) namba ya nida
3) picha ya kitambulisho kati ya hivi (kura,nida,Leseni ya udereva )
4) tin namba (tin namba lazima) na Leseni ya biashara Kama unayo
5) meseji ya muamala ulio lipia security deposit Kisha nitumie whatsaap hizo detail mkuu via namba nilio I weka hapo juu
 
Kumbe nawe ni walewale. Mi nitakuamini vipi Mkuu?

Kwanini isiwe malipo ni baada ya kazi? Hiyo security ni hamtuamini sawa tu na vile sie hatuwaamini.
Mkuu, jitahidi kuelewa basi.

Amesema malipo ya awali ni kwaajili ya kulinda akaunti. Then next month unakuwa unapewa kifurushi alafu unalipa kidogo kidogo.

How comes wakupe kifurushi cha bure now alafu usilipe?

Kumbuka ndo unaanza, so lazma uwe na security deposit.

Ni suala la uelewa Tu Mkuu,
 
Basi wasiite postpaid, waite prepaid. Malipo ya awali yawe sawa na kifurushi unachokitaka hapo si ndo umeshalipia Sasa?

Yaani unalipishwa kabla ya kupata hiyo huduma kisha unaambiwa hiyo haihusiani nawe unaamini, duh.
 
shukrani kwa kunijibia mkuu hao ndio huitwa JINI KUJUA / MUCH KNOW
 
Basi wasiite postpaid, waite prepaid. Malipo ya awali yawe sawa na kifurushi unachokitaka hapo si ndo umeshalipia Sasa?

Yaani unalipishwa kabla ya kupata hiyo huduma kisha unaambiwa hiyo haihusiani nawe unaamini, duh.
mkuu unajua maana ya security deposit ?
hayo malipo haya nunua kifukifurushi na unaweza kurudishiwa ukipita kwenye huduma
 
Kwahiyo ni kwa wafanya biashara tu?
 
How?? Nielekeze
Iko hivi unalipia 50k then unapata gb24 kwa mwezi. Zikiisha utaendelea kupata internet ila kwa kasi ya chini lakini inatosha kuperuzi JF, Insta, Twitter nk

Ila bora uchukue hiko cha tigo postpaid kiko vizuri au kile Airtel SME
C0B66B35-2B63-4EE3-9AF3-89C24EB91BBD.jpeg
 
Kumbe nawe ni walewale. Mi nitakuamini vipi Mkuu?

Kwanini isiwe malipo ni baada ya kazi? Hiyo security ni hamtuamini sawa tu na vile sie hatuwaamini.
Mimi nilienda tigo shop kuungwa, hyo security deposit ni lazma mkuu. Na inarudi ukimaliza mkataba wako.
 
Ukitaka kujitoa unafanyaje?

Nashauri hiko kifurushi cha data na dk 400 muongeze dakiki walau hata 800 kwa data 10gb. Fikisha ujumbe
 
Back
Top Bottom