Frank I Ritte
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,003
- 1,350
Mkuu naweza kuunganishwa internet ya mwezi mzima na gharama ikoje.hapana huna haja ya kusubiri utaungwa kuanzia hiyo tarehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naweza kuunganishwa internet ya mwezi mzima na gharama ikoje.hapana huna haja ya kusubiri utaungwa kuanzia hiyo tarehe
vitu vinavyohitajika vya lazimaNamba ya nida au driving L inatosha?
Mkuu, jitahidi kuelewa basi.Kumbe nawe ni walewale. Mi nitakuamini vipi Mkuu?
Kwanini isiwe malipo ni baada ya kazi? Hiyo security ni hamtuamini sawa tu na vile sie hatuwaamini.
Basi wasiite postpaid, waite prepaid. Malipo ya awali yawe sawa na kifurushi unachokitaka hapo si ndo umeshalipia Sasa?Mkuu, jitahidi kuelewa basi.
Amesema malipo ya awali ni kwaajili ya kulinda akaunti. Then next month unakuwa unapewa kifurushi alafu unalipa kidogo kidogo.
How comes wakupe kifurushi cha bure now alafu usilipe?
Kumbuka ndo unaanza, so lazma uwe na security deposit.
Ni suala la uelewa Tu Mkuu,
kwanzaMkuu naweza kuunganishwa internet ya mwezi mzima na gharama ikoje.
shukrani kwa kunijibia mkuu hao ndio huitwa JINI KUJUA / MUCH KNOWMkuu, jitahidi kuelewa basi.
Amesema malipo ya awali ni kwaajili ya kulinda akaunti. Then next month unakuwa unapewa kifurushi alafu unalipa kidogo kidogo.
How comes wakupe kifurushi cha bure now alafu usilipe?
Kumbuka ndo unaanza, so lazma uwe na security deposit.
Ni suala la uelewa Tu Mkuu,
mkuu unajua maana ya security deposit ?Basi wasiite postpaid, waite prepaid. Malipo ya awali yawe sawa na kifurushi unachokitaka hapo si ndo umeshalipia Sasa?
Yaani unalipishwa kabla ya kupata hiyo huduma kisha unaambiwa hiyo haihusiani nawe unaamini, duh.
GB 10 ,kwanza
mkuu chagua kiasi cha data unacho hitaji kwa mwezi mzima Kisha nikupe gharama zake na uweze kujiunga
Sawa,Watafute Vodacom hapa uliza yanayoihusu tigo tu.
Wengi wenu humu ni wajuaji sana, nampa gwala kwa kujihami!.Mbona umejihami mapema hvo boss
eti nakusaidia
sasa si analipia hapo unamsaidia kitu ganiulitaka anilipe
sasa si analipia hapo unamsaidia kitu gani
okAnayolipia ni security deposit mimi namuunga kwa huduma japo kigezo kimoja kinambana
Nasubiria jibu hapaSisi wa Vodacom mnatusaidiaje!?
Iko hivi unalipia 50k then unapata gb24 kwa mwezi. Zikiisha utaendelea kupata internet ila kwa kasi ya chini lakini inatosha kuperuzi JF, Insta, Twitter nkHow?? Nielekeze
Mimi nilienda tigo shop kuungwa, hyo security deposit ni lazma mkuu. Na inarudi ukimaliza mkataba wako.Kumbe nawe ni walewale. Mi nitakuamini vipi Mkuu?
Kwanini isiwe malipo ni baada ya kazi? Hiyo security ni hamtuamini sawa tu na vile sie hatuwaamini.