Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)

Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)

Ukiangalia kwa akili ya kawaida utaona hivyo unavyoona wewe, inahitajika akili ya ziada inayofikiri nje ya box kuweza kuelewa nilichoandika.

Ki uhalisia deposit yako ya security ndio inayonunua kifurushi cha mwezi wa kwanza. Malipo utakayokuja kukatwa wewe utaona ndio umelipia kifurushi kilichopita (POSTPAID) kumbe ki uhalisia ndio unalipia kifurushi cha mwezi wa pili (PREPAID).
Mkuu hii ni lugha ya kibiashara itumikayo kuwavuta wateja, ila ukweli upo pale palee, hizi huduma za postpaid kwa makampuni ya simu hayatoe kwetu/consumer labda kwa kampun za huduma mbal mbal napo sina hakika kama wanafanya hivyo.

Watu wanaofanya post paid ni dawasco(idara za maji) na ni baadhi ya maeneo.

Watu wa masoko hujua kutengeneza maneno mazuri yanayofanana na ukweli ila kiuhalisia sivyo.

Mfano
Tv inauzwa 999 990/=
Au
Jiunge na kifurushi cha 5000/= upate dakika 5000 za kupiga mitandao yote bure. BURE wapi wakati ushalipi?
Nadhani ndo saikolojia ya biashara ilivyo mkuu.
MIfano ipo mingi ambayo naweza tumia kuelewesha ila inatosha hope wakuelewa wameelewa

HITIMISHO

Hii ni huduma nzuri pasipo kujali unalipia kabla au baada mana kama unanunua gb 1 kwa wastani wa 1000/= ni faida maana unaokoa. Maana 3000/= ni gb1.4

Nlikuwa naunga huduma ya pre paid ya wale jamaa wekundu kila mwezi so si mgeni kwa hizi huduma

Mwenye uhitaji asisite hii huduma ni uhakika 100%
 
USHUHUDA
Mtoa hoja ni mkweli 100%. Binafsi nimefanikiwa kupitia maelekezo yake ila nimeunganishwa kupitia ofisi ya tigo iliyopo mkoa ninaoishi.
Huduma hii hailengi watumiaji wa kawaida, inalenga biashara (makampuni au ofisi binafsi) yaani kwa lugha yao wanaita business to business (B2B) na ndio maana wanahitaji leseni kama ushahidi wa mfanya biashara, pia ndo maana haijulikani saana kwa consumers ambao sio wafanya biashara.
Ila hawa agents wanasaidia kuwaunga hata ambao sio wafanya biashara ili kufikia target.
 
Mkuu hebu elewa ndio maana nikakuwekea maelezo na nakuwekea bold uelewe wanakuzimia kwakuwa hujalipa hela yao hivo ukilipa hela unafunguliwa na kuendelea na huduma yao hivo wewe kwa tafsiri nyepesi
hupaswi kupewa huduma kama hii kwakuwa unawaza kutumia huduma ya watu bila kuweza kulipia wale wanaolipia huwezi kuta wanalalamika kwa ishu kama ulio address hapo wewe
Nahitaji hii huduma ila naogopeshwa. Kingine ni leseni au ukipewa tu namba unamuunga mwenyewe
 
[emoji845]OFA OFA OFA [emoji3533]ZA LEO BEI CHEE SAWA NA BURE KWA HALOTEL Malipo baada ya kaz

GB ZA HALOTEL WIKI 2
GB5=5,000
GB6=6,000
GB7=7,000
GB8=8,000
Gb10=10000.

GB ZA HALOTEL MWEZI
Gb10= 10000
GB15=15000
GB20=20,000
GB25=24,000
Gb30=27,000
GB40=35,000
Gb45=38,000
Gb60=49,000
Gb90=70,000
Gb120=95,000
Ni chapu.. Uaminifu ndo siraha yetu, mambo iko huku we una subiri nini usajili sasa laini ya halotel leo usipitwe na uhondo, kabla bei hazijabadika
[emoji338] 0618279799
0712776823
 
Mkuu hii ni lugha ya kibiashara itumikayo kuwavuta wateja, ila ukweli upo pale palee, hizi huduma za postpaid kwa makampuni ya simu hayatoe kwetu/consumer labda kwa kampun za huduma mbal mbal napo sina hakika kama wanafanya hivyo.

Watu wanaofanya post paid ni dawasco(idara za maji) na ni baadhi ya maeneo.

Watu wa masoko hujua kutengeneza maneno mazuri yanayofanana na ukweli ila kiuhalisia sivyo.

Mfano
Tv inauzwa 999 990/=
Au
Jiunge na kifurushi cha 5000/= upate dakika 5000 za kupiga mitandao yote bure. BURE wapi wakati ushalipi?
Nadhani ndo saikolojia ya biashara ilivyo mkuu.
MIfano ipo mingi ambayo naweza tumia kuelewesha ila inatosha hope wakuelewa wameelewa

HITIMISHO

Hii ni huduma nzuri pasipo kujali unalipia kabla au baada mana kama unanunua gb 1 kwa wastani wa 1000/= ni faida maana unaokoa. Maana 3000/= ni gb1.4

Nlikuwa naunga huduma ya pre paid ya wale jamaa wekundu kila mwezi so si mgeni kwa hizi huduma

Mwenye uhitaji asisite hii huduma ni uhakika 100%
Natumia postpaid ya Tigo
Sasa hivi nadaiwa miezi mitatu sijalipa
 
Hii ndio shida ya hizi vifurushi vya postpaid wanataka kila mwezi ulipe hawajui huna hera wala nini ikipatwa na majanga wao hawajui hata ukikaa miezi 6 deni lako linahesabiwa uwe una tumia au hutumii utajuweee ndio maana bora kununua vifurushi hivi vya halo maana kama huna unatulia na huna deni na mtu

Bei ya Leo vifurushi
HALOTEL SIKU1
Mb600 kwa 1000
Gb1 kwa 1500
Gb2 kwa 2500

HALOTEL WIKI
Gb2 kwa 3000
Gb3 kwa 4000
Gb4 kwa 5000

HALOTEL MWEZI
Gb5 kwa 6000
Gb7 kwa 8000
Gb9 kwa 10,000
Gb10 kwa 11,000
Gb14 kwa 15,000
Gb15 kwa 17,000
Gb18 kwa 20,000
Gb20 kwa 22,000
Gb25 kwa 28000
Gb30 kwa 33000
0618370992
Natumia postpaid ya Tigo
Sasa hivi nadaiwa miezi mitatu sijalipa
 
Back
Top Bottom