Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Yes ndo ninachofanya nikipata 20k nalipa then najivuta tenaLipia kidogo kidogo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes ndo ninachofanya nikipata 20k nalipa then najivuta tenaLipia kidogo kidogo mkuu
Mkuu hii ni lugha ya kibiashara itumikayo kuwavuta wateja, ila ukweli upo pale palee, hizi huduma za postpaid kwa makampuni ya simu hayatoe kwetu/consumer labda kwa kampun za huduma mbal mbal napo sina hakika kama wanafanya hivyo.Ukiangalia kwa akili ya kawaida utaona hivyo unavyoona wewe, inahitajika akili ya ziada inayofikiri nje ya box kuweza kuelewa nilichoandika.
Ki uhalisia deposit yako ya security ndio inayonunua kifurushi cha mwezi wa kwanza. Malipo utakayokuja kukatwa wewe utaona ndio umelipia kifurushi kilichopita (POSTPAID) kumbe ki uhalisia ndio unalipia kifurushi cha mwezi wa pili (PREPAID).
Hakuna gharama zingine kiongoziMkuu nataka kujiunga na tigo prepaid
Kuna gharama zingine zaidi ya gharama ya kifurushi?
Nahitaji hii huduma ila naogopeshwa. Kingine ni leseni au ukipewa tu namba unamuunga mwenyeweMkuu hebu elewa ndio maana nikakuwekea maelezo na nakuwekea bold uelewe wanakuzimia kwakuwa hujalipa hela yao hivo ukilipa hela unafunguliwa na kuendelea na huduma yao hivo wewe kwa tafsiri nyepesi
hupaswi kupewa huduma kama hii kwakuwa unawaza kutumia huduma ya watu bila kuweza kulipia wale wanaolipia huwezi kuta wanalalamika kwa ishu kama ulio address hapo wewe
Natumia postpaid ya TigoMkuu hii ni lugha ya kibiashara itumikayo kuwavuta wateja, ila ukweli upo pale palee, hizi huduma za postpaid kwa makampuni ya simu hayatoe kwetu/consumer labda kwa kampun za huduma mbal mbal napo sina hakika kama wanafanya hivyo.
Watu wanaofanya post paid ni dawasco(idara za maji) na ni baadhi ya maeneo.
Watu wa masoko hujua kutengeneza maneno mazuri yanayofanana na ukweli ila kiuhalisia sivyo.
Mfano
Tv inauzwa 999 990/=
Au
Jiunge na kifurushi cha 5000/= upate dakika 5000 za kupiga mitandao yote bure. BURE wapi wakati ushalipi?
Nadhani ndo saikolojia ya biashara ilivyo mkuu.
MIfano ipo mingi ambayo naweza tumia kuelewesha ila inatosha hope wakuelewa wameelewa
HITIMISHO
Hii ni huduma nzuri pasipo kujali unalipia kabla au baada mana kama unanunua gb 1 kwa wastani wa 1000/= ni faida maana unaokoa. Maana 3000/= ni gb1.4
Nlikuwa naunga huduma ya pre paid ya wale jamaa wekundu kila mwezi so si mgeni kwa hizi huduma
Mwenye uhitaji asisite hii huduma ni uhakika 100%
Natumia postpaid ya Tigo
Sasa hivi nadaiwa miezi mitatu sijalipa
Tigo wananidai 80k yao ya miezi miwili wataniua
Kumbe tunaodaiwa tupo wengi [emoji1787]Natumia postpaid ya Tigo
Sasa hivi nadaiwa miezi mitatu sijalipa
Tujitahidi kulipia bill lipia hata buku buku wanapokea wakiuKumbe tunaodaiwa tupo wengi [emoji1787]