Tanzanian Dream
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 274
- 1,771
Habari wana jf.
Kwenye harakati za utaftaji kuna mapito mengi Sana mtu anapitia mpaka anatoboa,Kuna watu wamepitia msoto mkali,wamekutana na changamoto sio za nchi hii,Kuna wakati unajiona unastahili kabisa kukata tamaa ila Kuna sauti ndogo ndani yako inakuambia "never give up" na hasa ukiskia story za akina Thomas edison ambao walifeli 10,000 times na bado wakatoboa,unajipa moyo unaendelea kupambana.
Spirit from our heros
Huwa ninapojisikia kuchoka namkumbuka maalim seif shariff hamad,huyu mwamba ametuachia somo kubwa sana,tangu 1995(wengi humu jf walikuwa hawajazaliwa) maalimu alikuwa tayari kwenye harakati za kuusaka uraisi wa zanzibar,kapambania taji 5 times kwa miaka 20 bila mafanikio,2020 ilikuwa ni mara yake ya 6 na bado hakufanikiwa ila aliambulia kuwa makamu wa kwanza wa raisi,2021 mwamba akapoteza maisha,bila taji alilolipambania kwa miaka zaidi ya 25,😭(r.i.p my hero)
Wanaharakati wa kweli tunahitaji spirit ya namna hii.
Binafsi nimepitia failure nyingi kwenye hustling za hapa na pale,sijisikii vibaya kushare na wadau hapa jukwaani kwasababu Kuna mtu atapata kitu cha kujifunza na mwingine atatiwa moyo aendelee kupambania ndoto zake.
Nilishawahi kuanzisha blog,nikafail,Nilishawahi kununua pikipiki nne za mikataba kwa wakati tofauti tofauti,zote niliishia kuziuza kwa hasara,nilianzisha vikundi viwili vya uwekezaji kwa nyakati tofauti,vyote vilikata moto,ndani ya mwaka,nilishawahi kusomea stashahada ya uongozi,nilimaliza semester ya kwanza,ya pili nikawa rejected,nilisha jaribu forex 3 times nikachoma acc,nilishawahi pia kufungua maduka 12 kwa kipindi cha miaka kumi,8 yalikufa ndani ya mwaka kuna rafiki yangu mmoja alikuwa na mabucha 7,yote alifunga ndani ya mwaka,wakati mwingine unaweza kuhisi unarogwa...kwenye utaftaji failure ni nyingi,tunaanguka,tunainuka tena,tunashindwa,tunaijaribu tena....kibaya ni kukata tamaa.
Hitimisho
Nini cha kujifunza
1)Kama umri wako mdogo fanya attempts nyingi kadri uwezavyo,usiogope kukosea,jifunze kutokana na makosa,Usisubiri uzeeke ndio uanze harakati,mzee mmoja alinunua coaster ya abiria,kwa hela ya pension,ndani ya mwezi gari iliwaka moto,mzee kupata taarifa,presha juu peleka hospitali,mzee kakata Moto kitambo..😭😭
(2)kushindwa ni recipe mojawapo ya kufanikiwa,jack ma alifeli shule ya msingi mara mbili,middle school Mara tatu,alipigwa chini Mara kumi pale havard University,he failed 30 jobs lkn hakujikatia tamaa,leo tuna alibaba,kwababu ya mtu mmoja ambaye haku give up ndoto zake licha ya kushindwa Mara nyingi.
(3)A quitter never wins and a winner never quits.
(4)karibuni wadau,kwenye huu uzi wa kutiana moyo kwny harakati za utaftaji,Kama una some sort of failure stories share na sisi hapa,ili yule aliyefeli na kujikatia tamaa asijione yuko peke yake.
"Do not read success stories,coz you will get only message,Read failure stories and you will get some ideas to get success"