Kama umeshawahi kushindwa Jambo lolote pita hapa

Kama umeshawahi kushindwa Jambo lolote pita hapa

Kuna msemo mmoja huwa naulewa sana ukifeli kila mtu atajua na atakusema..... Mara jamaa kafilisika, kashushwa cheo, kafukuzwa kazi, mara ame disco... Chuo... It's because
"success hugs you in private but failure always slaps you in public" That's life
Kuna mwingine unasema "Success has so many fathers but failure is an orphan "
 
Hapana nafanya kitu ninachokipenda na changamoto nakutana nazo na kuzifanyia kazi mm mwanzon nilikuwa nafanya biashara wiki 2 au mwez sion maendeleo naacha nilivoanza kuwa consistency naona matokeo..sasa mtu anasoma masters anaishia njian mara auze matofal bila sababu ya msingu [emoji23][emoji23] had wanunuz wanamshangaa anahamia business nyingne hata mwaka haina anacha hapo mchaw ni wewe mwenywe na sio changamoto..
Asante kwa ushauri wako,ila nimeona hata ww huko nyuma ulikuwa una ruka ruka then baadaye ndio ukatulia na Jambo moja ukalipambania kufa na kupona......
Masters niliishia njiani kwasababu uchumi uliyumba,hata hizo tofari nilikuwa nauza ili nipate ada niskume siku,hata hivyo bado sikutoboa.
 
Mambo magumu totally mkuu,nimekuwa nauguza baba miaka 3 sasa.Nimefilisika kila kitu kila kitu,hata sijui nifanyeje hapa.Natafuta namna ya kujinasua nakosa.
Naona changamoto ya kuuguza ndio imepelekea changamoto ya kifedha,nyakati Kama hizo unahitaji utulivu wa kiakili,sijui upande wa ndugu zako wanachukulia vp!ila Kama issue ni fedha za kumuuguza mzee,mnaweza kuuza mali yenu yoyote yenye thamani mkapambania afya ya mzee.
 
Asante kwa ushauri wako,ila nimeona hata ww huko nyuma ulikuwa una ruka ruka then baadaye ndio ukatulia na Jambo moja ukalipambania kufa na kupona......
Masters niliishia njiani kwasababu uchumi uliyumba,hata hizo tofari nilikuwa nauza ili nipate ada niskume siku,hata hivyo bado sikutoboa.
Sema ninachoelewa najua nyakati ngumu zina mwisho wake siku zote.
 
Back
Top Bottom