Kama umeshawahi kushindwa Jambo lolote pita hapa

Kama umeshawahi kushindwa Jambo lolote pita hapa

Ila kwenye hii makala yako, mbona kama sio kufeli ila ni wewe kukata tamaa.

Kila kitu umefanya ndani ya muda mfupi mfupi tu, hujadumu.
Bila shaka ulitaka mafanikio ya muda mfupi, sio sahihi kutolea mfano mmiliki wa Alibaba maana yeye alidumu na kile alichoamini hadi akatoboa nacho.

Wataftaji wengi shida yetu ni hiyo, kutaka mafanikio chap, kutokua na malengo, kua na mrafiki uchwara wenye mbishe ovu na wewe ukatamani, au lah washkaji zako walikua vizuri darasani wakazingatia masomo wakatoboa nayo, ni wajanja na ujanja wao ukawasaidia kutoboa nk.

Njia za kutoboa ni tofauti kwa kila mtu, tengeneza njia yako na usiyumbishwe.
 
Wewe ukiendelea hvo utaendelea kushindwa till your last breath!! Sabb huna maono unataka nn ili ukomae na unachotaka hata kama utafeli utakirudia hicho hicho..asa ndugu yangu kila kitu unataka ndio failure reasons Yako ipo hapo..

Stay with one thing..pigana kufa kupona!!!
Hata mm nimegundua nikataka kuandika hvo hvo ni anafanya kitu kidogo anakata tamaa hana consistency na focus
 
Wewe ukiendelea hvo utaendelea kushindwa till your last breath!! Sabb huna maono unataka nn ili ukomae na unachotaka hata kama utafeli utakirudia hicho hicho..asa ndugu yangu kila kitu unataka ndio failure reasons Yako ipo hapo..

Stay with one thing..pigana kufa kupona!!!
Unataka kuniambia ukitulia na kitu kimoja ndio hutafeli?,kwny utaftaji tunaanza kwa trail and error,mbona jack ma alijaribu vitu vingi then later ndio akajipata,Kama wewe bado kijana keep on trying ila kama umri umekwenda huna budi kutulia na Jambo moja.
 
THE HARD WORKER.....angalia usijekuwa una work hard kwenye wrong work
Hapana nafanya kitu ninachokipenda na changamoto nakutana nazo na kuzifanyia kazi mm mwanzon nilikuwa nafanya biashara wiki 2 au mwez sion maendeleo naacha nilivoanza kuwa consistency naona matokeo..sasa mtu anasoma masters anaishia njian mara auze matofal bila sababu ya msingu [emoji23][emoji23] had wanunuz wanamshangaa anahamia business nyingne hata mwaka haina anacha hapo mchaw ni wewe mwenywe na sio changamoto..
 
Ndugu tamuuuu hebu share kidogo,..unapitia kwny hali gani,kiasi cha kujiwazia kufa?funguka hapa utasaidika.
Mambo magumu totally mkuu,nimekuwa nauguza baba miaka 3 sasa.Nimefilisika kila kitu kila kitu,hata sijui nifanyeje hapa.Natafuta namna ya kujinasua nakosa.
 
Back
Top Bottom