Kama umeshawahi kushindwa Jambo lolote pita hapa

Kuna mwingine unasema "Success has so many fathers but failure is an orphan "
 
Asante kwa ushauri wako,ila nimeona hata ww huko nyuma ulikuwa una ruka ruka then baadaye ndio ukatulia na Jambo moja ukalipambania kufa na kupona......
Masters niliishia njiani kwasababu uchumi uliyumba,hata hizo tofari nilikuwa nauza ili nipate ada niskume siku,hata hivyo bado sikutoboa.
 
Mambo magumu totally mkuu,nimekuwa nauguza baba miaka 3 sasa.Nimefilisika kila kitu kila kitu,hata sijui nifanyeje hapa.Natafuta namna ya kujinasua nakosa.
Naona changamoto ya kuuguza ndio imepelekea changamoto ya kifedha,nyakati Kama hizo unahitaji utulivu wa kiakili,sijui upande wa ndugu zako wanachukulia vp!ila Kama issue ni fedha za kumuuguza mzee,mnaweza kuuza mali yenu yoyote yenye thamani mkapambania afya ya mzee.
 
Sema ninachoelewa najua nyakati ngumu zina mwisho wake siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…