Kama umewahi kufanya kazi Lodge na hujamalizia show (KUFANYA UPONYAJI) huenda huna bahati

Umesema umemaliza kidato cha 6??
 
🤣🤣😃Maestro
 
Ndo maana nimekuambia unaandika ujinga ambao hauendani na umri wako


We ni hasara Kwa Taifa na jamii Kwa ujumla
Pole sana, siku nyingine uondoke naye
 
Alikuwa na mri gani wakati kakwambia kamtia mimba mshangazi wake na anatarajia kujifungua?
Labda ungeuliza sasa hivi ana umri gani.
Kumtia mimba mshangazi ni sawa. Ila amekesha usiku akilalana, na asubuhi akalalana.

Bila kula kurestore energy ya usiku, bila kuwazia kwenda kazini au kurudi nyumbani kuzuga ulipata ajali.

Ndiyo sababu nimeuliza umri kwakua kuna umri unakua unatembeza fimbo tu bila kujali kama energy itakata na soon utatembelea lipids.
 
Mkuu huna kinyaa....unakula mizoga.

Wengi hao ni Sex workers
 
Yeah akilala lodge tena kama ni nzuri yaani hup kwake ni Mtoko Mkali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…