Kama umewahi kufanya kazi Lodge na hujamalizia show (KUFANYA UPONYAJI) huenda huna bahati

Kipindi nimemaliza kidato cha 6 nilikuwa nasimamia lodge ya ndugu yangu kipindi nasubiri kwenda chuo, sasa leo natoa siri kwa wanaume, ukienda lodge na demu wako kuanzia leo, hakikisha unaondoka naye.

Iko hivi, kuna watu wanapiga show kizembe halafu akimaliza anavaa fasta anaondoka anaacha mtoto kalala chali na unakuta ni mtoto mkali, sasa kipindi hicho tulikuwa tunafanya hivi;

Unasubiri mpaka dem aoge avae akitoka kuja kukabidhi funguo unamwambia kama umechoka unaweza kupumzika kidogo maana chumba kimelipiwa mpaka kesho saa 4 asubuhi, pia namwambia wewe kapumzike tu nakuja kukuletea sabuni na taulo nyingine, kati ya madem 10 watatu wanakubali na wanarudi kweli na kati ya hao 3 wawili wanalika bila tabu.

Ukiingia kumpelekea vitu unakuwa unamtania una sauti nzuri, mmh wakubwa mnafaidi, nk hadi anajaa kwenye mfumo unakula bure.

Ndom hununui ni zile zile walizotumia maana kati ya 3 wanakuwa wametumia 1 zimebaki 2. Kama hawakutumia unatumia Familia condom zilikuwa zinaletwa kwenye ma lodge bure, kama mzuri sana unapiga kavu.

Yani nilipenda sana ile kazi. Aliyenifundisha huo mtindo ni mtoto wa huyo ndugu yangu mwenye lodge. Yule mwamba sasa amekuwa na yeye amejenga lodges 3 ila sina uhakika kama anaendeleza huo ujinga au vipi.

Sisi tulikuwa tunaita UPONYAJI. kila wiki unaponya wa 2 au wa 3 na wengine wanakuwa wateja wakudumu.
Vijana kama wewe mna mchango mdogo sana katika taifa
 
Wanaume hamna kinyaa
Swali la kizushi…
Wanawake wengi wana watu wao,Ukimtongoza akikukubalia Ina Maana Mtu wake alishapita Nae,Yaani sio Bikira!
Je wewe upo kundi gani?
Tena Unakuta Mtu anajua Kabisa huyu Dada Boyfrieswake ni Flani…Anaefanya nae Mapenzi na bado anatongoza nae anakwenda kutembea nae!Je huo sio Uchafu???
 
Huo sio uchafu ni kawaida😀
 
Msaidizi: Apostle kuna kitu kimetokea.
Mwamposa: Nini kimetokea?
Msaidizi: Mama ameteseka kwa kutumia hili gongo bila kutembea kwa mwaka mzima.
Mwamposa: Mwaka mzima? Nini kimetokea?
Msaidizi: Baada ya maombi ametembea
Mwamposa: Mama tembea, tembea tukuone.
Pigia yesu makofi..
 
Kipindi nimemaliza kidato cha 6 nilikuwa nasimamia lodge ya ndugu yangu kipindi nasubiri kwenda chuo, sasa leo natoa siri kwa wanaume, ukienda lodge na demu wako kuanzia leo, hakikisha unaondoka naye.

Iko hivi, kuna watu wanapiga show kizembe halafu akimaliza anavaa fasta anaondoka anaacha mtoto kalala chali na unakuta ni mtoto mkali, sasa kipindi hicho tulikuwa tunafanya hivi;

Unasubiri mpaka dem aoge avae akitoka kuja kukabidhi funguo unamwambia kama umechoka unaweza kupumzika kidogo maana chumba kimelipiwa mpaka kesho saa 4 asubuhi, pia namwambia wewe kapumzike tu nakuja kukuletea sabuni na taulo nyingine, kati ya madem 10 watatu wanakubali na wanarudi kweli na kati ya hao 3 wawili wanalika bila tabu.

Ukiingia kumpelekea vitu unakuwa unamtania una sauti nzuri, mmh wakubwa mnafaidi, nk hadi anajaa kwenye mfumo unakula bure.

Ndom hununui ni zile zile walizotumia maana kati ya 3 wanakuwa wametumia 1 zimebaki 2. Kama hawakutumia unatumia Familia condom zilikuwa zinaletwa kwenye ma lodge bure, kama mzuri sana unapiga kavu.

Yani nilipenda sana ile kazi. Aliyenifundisha huo mtindo ni mtoto wa huyo ndugu yangu mwenye lodge. Yule mwamba sasa amekuwa na yeye amejenga lodges 3 ila sina uhakika kama anaendeleza huo ujinga au vipi.

Sisi tulikuwa tunaita UPONYAJI. kila wiki unaponya wa 2 au wa 3 na wengine wanakuwa wateja wakudumu.
Hizi zote ni codes huna haja kuanika hapa,imagine na wewe umejenga lodge na mkeo akaamua kukusaidia one day,utafanyaje.
 
Mimi naona umeandika ujinga na pumba .

Kwanini usimruhusu huyo mteja aondoke ili uendelee kuingiza pesa

Itakuwa hiyo Kazi ilikupa mental illness
Kupanga ni kuchagua, itakuwa alichagua ngono ndio kipaombele chake. Na ndio maana hadi leo anasisimka na akipewa nafasi ya kurudi tena hapo anaendelea.
 
Mimi nikaja haraka nikijua labda uponyaji ni pale wanapotoka wanaolipia chumba siku nzima na kuondoka anakipangisha chumba kwa watu wengine kwa bei ileile.

Kumbe uponyaji ndio huo. Na ukuponye wewe na mwalimu wako😎😎😎
 
Back
Top Bottom