Kama umewahi kufanya kazi Lodge na hujamalizia show (KUFANYA UPONYAJI) huenda huna bahati

Vijana kama wewe mna mchango mdogo sana katika taifa
 
Wanaume hamna kinyaa
Swali la kizushi…
Wanawake wengi wana watu wao,Ukimtongoza akikukubalia Ina Maana Mtu wake alishapita Nae,Yaani sio Bikira!
Je wewe upo kundi gani?
Tena Unakuta Mtu anajua Kabisa huyu Dada Boyfrieswake ni Flani…Anaefanya nae Mapenzi na bado anatongoza nae anakwenda kutembea nae!Je huo sio Uchafu???
 
Huo sio uchafu ni kawaida😀
 
Pigia yesu makofi..
 
Hizi zote ni codes huna haja kuanika hapa,imagine na wewe umejenga lodge na mkeo akaamua kukusaidia one day,utafanyaje.
 
Mimi naona umeandika ujinga na pumba .

Kwanini usimruhusu huyo mteja aondoke ili uendelee kuingiza pesa


Itakuwa hiyo Kazi ilikupa mental illness
Kupanga ni kuchagua, itakuwa alichagua ngono ndio kipaombele chake. Na ndio maana hadi leo anasisimka na akipewa nafasi ya kurudi tena hapo anaendelea.
 
Mimi nikaja haraka nikijua labda uponyaji ni pale wanapotoka wanaolipia chumba siku nzima na kuondoka anakipangisha chumba kwa watu wengine kwa bei ileile.

Kumbe uponyaji ndio huo. Na ukuponye wewe na mwalimu wako😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…