khee we mtoto hotel zte unazijuaSingida hiyo ahhahah
Kabisa.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umenena mkuu hakuna mtu ambaye hajawahi kuibaaa lakin ukisema ukweli watu wanakushambulia kama nn
KWani wewe ndo apple?muongo wewe
hata waume wa watu umeshindwa? maana hapo haihitaji mkono.Mimi kuiba siwezi, namkono mzito
duuu hapana kwani vipiKWani wewe ndo apple?
Kwamaana uli comment kwa ufupi tu " Muongo wewe" kama vile we ndo unajua ukweli, sasa kwa story yake alikuwa na apple na yeye pekee ndo anaweza jua haya ni kweli au si kweli au kuna chumvi mingi au kapunguza sana ukweli.duuu hapana kwani vipi
uwezi nipangia cha kuongea kam alikuwa anamwambia uyo apple wake wangeongea private huko sawa na kwanini unakuwa mkeleketwa sana kujibu ivyo kuliko yeye mwenyew mleta uzi?Kwamaana uli comment kwa ufupi tu " Muongo wewe" kama vile we ndo unajua ukweli, sasa kwa story yake alikuwa na apple na yeye pekee ndo anaweza jua haya ni kweli au si kweli au kuna chumvi mingi au kapunguza sana ukweli.
wewe ulitakiwa uchangie jinsi ulivyokuwa wewe ukiiba sio vinginevyo.
Kabisa maana moyo wangu ulikuwa umefika bibie.Naona unaniandama kweli mkuuu ulitaka kunichumbia nn ƙamoyo kanakuuma
Una tatizo la kisaikolojia, japo wewe mwenyewe unajiona mjanja. Bila shaka ulikuwa bullied wakati mdogo, so unalipiza kisasi kwa vitu vya watu maana ndo unavyoweza kuvionea.Nilisha ingia guest nikakutana na kitu kama hiki nikalala nacho mbele...
Sana sana nikiingia guest nikikosa cha kufanya huwa naharibu chochote nacho kiona kinafaa kuharibu...
Kuna sina nisha fungua switch ya kucharg nikatengesha minyaya humo ndani, ukichomeka sim sina inapigwa short moja matata, sijui kama aliyekuja kuingia kama alichomeka charg sijui kama ilibaki salama sim yake
Aisee, mwizi!!Niljifunika shuka la kimasai alaf nimebeba mgongoni kama mtoto
You are messed up mentally. Sio ujanja, una tatizo. Fuatilia background yako, utaelewa kwanini unafanya hivyo.Huwa siibi ila huwa nafanya uharibifu wa mabomba ambayo sio imara.
unanikumbusha dem mmoja nilikuwa navunja kisela anajifany msela msela nlkuwa nikimuagiza bbo cafe utaona kachukua kijiko glass kaja navyo rum!Dah me nimeba sana vijiko chuo napeleka hostel hahah