Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Sina lengo la kumtusi mtu, ila kwa saikolojia yangu, demu anayeiba vitu hotelini au bar au hata supermarket ni malaya/kahaba. Akipata upenyo kidogo anauza mbunye aka K.

Unajua kwanini baadhi ya mademu wanauza K? Jibu ni moja tu tamaa. Tamaa tu ndo itamfanya mdada anayejifanya 'class' aibe glass. Na tamaa ikilelewa inakua na kuwa kubwa ndo mademu hu-graduate kutoka kuiba glass hadi kuuza uke. Ni saikolojia tu, sio mimi.
 
duuu hapana kwani vipi
Kwamaana uli comment kwa ufupi tu " Muongo wewe" kama vile we ndo unajua ukweli, sasa kwa story yake alikuwa na apple na yeye pekee ndo anaweza jua haya ni kweli au si kweli au kuna chumvi mingi au kapunguza sana ukweli.
wewe ulitakiwa uchangie jinsi ulivyokuwa wewe ukiiba sio vinginevyo.
 
Kuna siku, nimeenda morogoro kwenye hoteli fulani .

Sasa nilipoingia chumbani, nakuta ndala zipo kama "papa na nguru" yaani tofauti tofauti. Ikabidi nimuulize muhudumu, nikamwambia

Hotel yenu ni kubwa na inapokea watalii kibao na watu wenye hadhi kubwa, kwanini basi mnafanya hivi ndala zinakua za namna hii.?!


Akaniomba samahani sana, akasema wameamua kufanya hivyo baada yakua wakipata hasara ya kununua ndala mara kwa mara.

Maana wateja wengine hua wanaondoka nazo kabisa.

Nikamwambia nahitaji ndala zilizosawa sitaki ndala zilizotofautiana, 150,000 niliyolipa ni kubwa. Ndio akaenda nibadilishia akaleta zilizo fanana.


Ukweli sikuamini kabisa hio sababu aliyoitoa, niliona huenda alikua anatania.

Sasa leo baada ya kusoma hij thread, ndio nimeelewa sasa.
 
Kwamaana uli comment kwa ufupi tu " Muongo wewe" kama vile we ndo unajua ukweli, sasa kwa story yake alikuwa na apple na yeye pekee ndo anaweza jua haya ni kweli au si kweli au kuna chumvi mingi au kapunguza sana ukweli.
wewe ulitakiwa uchangie jinsi ulivyokuwa wewe ukiiba sio vinginevyo.
uwezi nipangia cha kuongea kam alikuwa anamwambia uyo apple wake wangeongea private huko sawa na kwanini unakuwa mkeleketwa sana kujibu ivyo kuliko yeye mwenyew mleta uzi?
 
Nilisha ingia guest nikakutana na kitu kama hiki nikalala nacho mbele...
61YfngXawiL._SX425_.jpg


Sana sana nikiingia guest nikikosa cha kufanya huwa naharibu chochote nacho kiona kinafaa kuharibu...


Kuna sina nisha fungua switch ya kucharg nikatengesha minyaya humo ndani, ukichomeka sim sina inapigwa short moja matata, sijui kama aliyekuja kuingia kama alichomeka charg sijui kama ilibaki salama sim yake
Una tatizo la kisaikolojia, japo wewe mwenyewe unajiona mjanja. Bila shaka ulikuwa bullied wakati mdogo, so unalipiza kisasi kwa vitu vya watu maana ndo unavyoweza kuvionea.
 
Mimi nina collections ya mataulo toka hotels kubwa duniani.. Mara ya mwisho nimechukua Central Park Hotel, Incheon, South Korea
 
Back
Top Bottom