Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Yan watu wanaiba yale mapya unaweza kukuta ndo linanukia upyaa wanapita nayo hayo ya zaman szan kama wanaiba
 
Ukipitia huu uzi utabaini watanzania wengi ni wezi!

Hawa wanaoiba mataulo na mashuka wakipewa mamlaka si wataiba hadi vivutio vyetu vya utalii na kuvifanya maeneo yao ya kujipumzishia?
 
Wataiba mpaka ikulu wageuze nyumba ya kuishi
 
Yan watu wanaiba yale mapya unaweza kukuta ndo linanukia upyaa wanapita nayo hayo ya zaman szan kama wanaiba
Still ngumu kumesa sababu ya mazingira ya lodge/hoteli. Sio kwamba sie tunaopinga ni malaika, kila mtu ana kitabia fulani kichafu. Tunarekebishana ili mtu atambue kwamba anachokifanya sio sawa. [HASHTAG]#PeopleWithClass[/HASHTAG]
 
Uzi wa wezi bado unachanja mbuga, mtubu mtakuja kuchomwa moto shauri zenu ohhhh
 
Dada na ww kumbe ushawahi iba lakin saiv najua umeacha kama mm ilikuwa ni ujana tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yan nilijikakamua tu sikuwahi kuiba hapo kbl lkn kuiona hiyo adaptor, ikanibidi si zamani ni mwaka Jana ndo nilifanya Hilo tukio ila nilivuja jasho wizi ni kazi km kazi nyingine aisee
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]shemeji akiona hii coment jiandae kisaikolojia nitakuja kukutetea [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Uzi wa wezi bado unachanja mbuga, mtubu mtakuja kuchomwa moto shauri zenu ohhhh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]watu wanaiba mpaka avatar lazima uchanje mbuga
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]shemeji akiona hii coment jiandae kisaikolojia nitakuja kukutetea [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaha lbd aoteshwe
 
Duh basi hii nchi karibia wote wezi,hv mtu ameiba vitu vidogo vidogo tena used mfano shuka,taulo siku akipata fursa ya kuwakilisha wananchi atawaacha salama kweli??uzalendo tutabaki kuuimba kama mapambio siyo katika utendaji
 
Anza humu watu Avatar wanaiba hivyo vngne wataachaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…