Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Kipindi flan iv nimefika moro nkachkua malaya pale 4stars, tumeingia lodge akanipiga biti nimlipe kabisa, bas nikampa ela yake kisha nikapiga zangu shoo... mara nyingi huwa sipitiw na usingizi nikiwa na mwanamke nsomjua, likawa limelala fofofo, adi sa13 naliamsha halistuki, mi nkazama kwe pochi yake nkachukua 40k nkamuachia km elf5 na machenchi kibao... nikasepa zangu..
 
Nimeiba sana tooth pick bar! Hua nakaweka tu mfukoni kale kachupa naenda kukaweka kwenye motokaa
 
Nilisha ingia guest nikakutana na kitu kama hiki nikalala nacho mbele...
61YfngXawiL._SX425_.jpg

Sana sana nikiingia guest nikikosa cha kufanya huwa naharibu chochote nacho kiona kinafaa kuharibu...

Kuna sina nisha fungua switch ya kucharg nikatengesha minyaya humo ndani, ukichomeka sim sina inapigwa short moja matata, sijui kama aliyekuja kuingia kama alichomeka charg sijui kama ilibaki salama sim yake
Una roho mbaya
 
KWELI TUMETOFAUTIANA.

WENGNE TUKIENDA KWENYE HAYO MAHOTELI TUNAENDA NA MATAULO BINAFSI, SABUNI BINAFSI N.K, KUMBE WENGNE MNAPGA MAHESABU YA KUIBA?
Kama wewe ni mtu wa kusafiri na kufikia lodge au hotel, lazima ubebe mswaki, taulo, sabuni na mafuta yako. Wengine kama tunatarajia kukaa muda mrefu lodge, huwa tunabeba na shuka la kujifunika toka nyumbani.

Unapata wapi moyo wakuviamin unavyovikuta huko? Unawezaje kuiba shuka na taulo wakati ndivyo vitu 'wapandanao' hutumia kujifuta shahawa? Watu wanafumuliwa marinda kwenye shuka za lodge/hotel na chemba ikitema asubuhi wanafua mashuka. Walevi hutapikia sana mashuka ya hayo. Wewe unabeba unapeleka home.

Halmashauri ya kichwa iko salama kweli kwa hawa wenzetu?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Nimeshawahi kukutana na mtu havui nguo zote (za juu) anapokuwa lodge/hotel. Sababu aliyotoa ni kwamba kwakuwa vitanda vinalaliwa na watu wengi na mara nyingi ni kwa ajili ya ngono, basi vitanda hivyo vina nuksi/mikosi na ukivilalia uchi wa unapata mikosi hiyo.

Nadhan huyo mtanzania hajui wenzie mashuka na mataulo ya lodge/hoteli wanapeleka nyumbani.
 
Nyoosha maelezo, sema kuna jamaa alikutia guest lakini havui nguo zote za juu.

My take: alikuwa anajilinda usimsachi au ana dosari kwenye mwili wake, hiyo siyo sababu unless kama uko cheap kiasi kwamba alienda kukutafunia kwenye guest za buku tano.

Mimi safari zangu zote nafikiaga hotel kama sehemu hakuna hotel ndio nalalaga kwenye hizo lodge.
 
Hahahah, unaona hatari kutiwa? Wewe mwenyewe ukicheza anga za watu wanakutatua marinda. Haya ni mapovu ya mtu mdokozi wa vitu vya lodge. You should be ashamed of yourself for portraying bastardy and poverty-oriented habits.
 
Demiss umenifurahisha jamani, haya mambo yapo gesti niliwahi kuiba adaptor ya TV, coz orijino yake iliungua nikaikuta gesti flani iv kahama nikapita nayo aah saiv mambo good
Dada na ww kumbe ushawahi iba lakin saiv najua umeacha kama mm ilikuwa ni ujana tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kipindi flan iv nimefika moro nkachkua malaya pale 4stars, tumeingia lodge akanipiga biti nimlipe kabisa, bas nikampa ela yake kisha nikapiga zangu shoo... mara nyingi huwa sipitiw na usingizi nikiwa na mwanamke nsomjua, likawa limelala fofofo, adi sa13 naliamsha halistuki, mi nkazama kwe pochi yake nkachukua 40k nkamuachia km elf5 na machenchi kibao... nikasepa zangu..
Ww hata wife utamuibia
 
Back
Top Bottom