Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

huyo 'apple' mbona anatisha hivyo duuuh
images
 
KWELI TUMETOFAUTIANA.

WENGNE TUKIENDA KWENYE HAYO MAHOTELI TUNAENDA NA MATAULO BINAFSI, SABUNI BINAFSI N.K, KUMBE WENGNE MNAPGA MAHESABU YA KUIBA?
 
Hama kwenu ndo uongee nami,jipange ukauze papa huko.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]siwez kukujib vibaya maana hata mama yako anayo unaweza msindikiza akauzeee falaa ww
 
Kuna msela wangu mmoko alienda guest safi tu lakini uduma za kifisadi akaona na yeye awe fisadision akajaribisha flat screen kwenye beg mara ikatoshea,akairudishia sehemu yake asubui mbona walikuta manyoa..
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]manyoya ya kukuuu hatar
 
Watu wengine mna ugomvi na waziri Mary Mwanjelwa ...sio bure mada hizi
Wizi wa taulo na vijiko pale east african hotel.....na wizi wa mikufu kule Brussels ...cctv haikuacha salama...deni la usd 3'000ikapelekwa ubalozini na ushahiddi
 
Back
Top Bottom