Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sabuni huibi. UnachukuaWale wa kuiba Sabuni mpo???
We noma.Mimi nilishawahi kuiba mke wa mtu!
Stick huibi unachukua. Hata sabuni. Ila mashuka na tv ni wiziStick nimeiba Sana kipindi Niko chuo yani tukienda kula tunabeba
UmetishaI am confessing now, niliiba Biblia
Hao wa gezti nao wanaiibia sana serikali kwa kutolipa kodi kikamilifu. Kwa hiyo kuwaibia ni sawa tu na kuiibia serikaliAisee kuiba nayo yataka moyo,mi zaidi ya kuibia serikali sithubutu kuibia raia,ujasiri huo sina,na sababu pia sina.Ila jamhuri huwa inakoma na mimi.
Duh hii hatari usiyemdhania siye kumbe ndiyeHahaha tumefanana
[emoji23][emoji23][emoji23]Duh hii hatari usiyemdhania siye kumbe ndiye
mmhSabuni huibi. Unachukua
Nilikuwa sielewi ni kwa nini kwenye malodge Tv zinapigwa pin na kufuri kumbe mpo watoto wa mbwa.Niljifunika shuka la kimasai alaf nimebeba mgongoni kama mtoto
Toilet paper na sabuni unakuwa umeshsvilipia, ile service stahiki kwako, kama unamind kuvibeba ni powa tu.Toilet paper je?
Sawa naona uchunguz wako wa fbi hujui Tu nilipotoka nayeAu hiyo tabia yako ya wizi ndio maana mpenzi wako ameamua kutafuta mpenzi humu JF kule kwenye jukwaa la Love Connect, hahahahahhah
Nimeumia sana baada ya kuona mwanaume ninayempenda akitafuta mke jukwaa là Love connect
Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Demiss, Yesterday at 8:56 PM.