Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Hahahhahahha naona ukaenda home ukasema umeyanunua china [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hotel moja pale Beijing yale magauni ya kulalia na vile viatu vya kuvalia chumbani sikuviacha salama,ilikuwa siku nyingi umenikumbusha mbali.
Hahaha,hiyo itakua ni ajali kaziniUtaharisha siku mojaa
Kuna mtu alitaka kuiba nikambonyeza akacha..Ulitaka kuiba nn mkuuu