Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Id rather steal something that bugs my mind, feeds my adrenaline rush.....some heist that is worth my time and energy.

Yaani hata ukikamatwa you will be a hero if only for a while.
 
hotel moja pale Beijing yale magauni ya kulalia na vile viatu vya kuvalia chumbani sikuviacha salama,ilikuwa siku nyingi umenikumbusha mbali.
Hahahhahahha naona ukaenda home ukasema umeyanunua china [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Id rather steal something that bugs my mind, feeds my adrenaline rush.....some heist that is worth my time and energy.

Yaani hata ukikamatwa you will be a hero if only for a while.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hyatty regency wanataulo nzuri sana..bt nmegundua huwa zinawekewa alama.maalumu, wakikudaka huwezi kuchomoka
 
Endeleeni tu kuiba Hadi mje mrogwe Ndo mtaacha.. Maana Mwenye guest cyo mjinga kukubali vitu vyake Mara kwa Mara viibiwe
 
Lol hivi kuondoka na vile visabuni nako ni kuiba! Sikuwa najua hili maana mm huwa naondoka navyo kwani najua navyo nimelipia ndiyo maana ninawekewa kila siku.
Yaani nikiwa sijakimaliza kimoja na wasipokitoa wakaleta kingine basi kipya nakidondoshea katika bag!
 
Back
Top Bottom