Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?


You make sense.
 
Niliiba taulo,nililifutika mbeleni kama mshipa kisha nikachomoka mida ya alfajiri huku mlinzi akinifungulia geti bila Mashaka!
Mkuuu taulo halifai
 
Aisee kuiba nayo yataka moyo,mi zaidi ya kuibia serikali sithubutu kuibia raia,ujasiri huo sina,na sababu pia sina.Ila jamhuri huwa inakoma na mimi.
Wote huo ni wiziii tofaut tu kujiamin na unapoiɓaaa
 
Mkuu hyo flat screen uliibebea kwenye papuchi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…