Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Kwa wizi huo wa mashuka na vitambaa siku ukija kufanikiwa maishani basi jua litakuwa linachomozea west na kuzamia east..

Chenge anaiba bil 1 wewe unaiba mashuka mawili..
Tibaijuka anatumia mil 10 za wizi kununulia mboga wewe unaiba sabuni gest...

Kama umeamua kuwa mwizi iba vitu vya maana kama magari , vamia benki (lkn usiue)

Kama huwezi bora usiwe mwizi uwe raia mwema tu kama watu wengine na sio kujidharirisha hivyo

You make sense.
 
Aisee kuiba nayo yataka moyo,mi zaidi ya kuibia serikali sithubutu kuibia raia,ujasiri huo sina,na sababu pia sina.Ila jamhuri huwa inakoma na mimi.
Wote huo ni wiziii tofaut tu kujiamin na unapoiɓaaa
 
Back
Top Bottom