Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Niliɓeɓa mgongon kama mtt nikajifunika shuka la kimasai
Eti ww nae unakuja kuolewa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ....upupu mtupu kichwani[emoji90] [emoji90] [emoji38] [emoji90]

Li bashite kabisa[emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Sijawahi kuiba kitu guest house. Hata taulo zao huwa situmii hua naenda na taulo yangu mwenyewe hata shuka pia hua natumia zangu mwenyewe.
Vitu vya guest hua sina hamu navyo....labda sabuni huwa naondoka nayo cOz imejumlishwa kwenye bei ya guest
 
Hapo nashangaa tena anajisifu labda mimk sijaelewa ila amezidi kwa kweli.
Ninegundua tuna wezi wengi sana, yaani mafisadi wengi wako kwenye foleni wanasubiri nafasi tu.
Kama mtu anaweza kujisifia wizi namna hii na kuungwa mkono na wenzake, bila aibu, tunaelekea pabaya.

Magufuli nyoosha hii nji, wezi wa glass wanyooke.
 
Dah me nimeba sana vijiko chuo napeleka hostel hahah
 
Du we demu jambazi...mwizi ni mwizi tu hamna mwizi mdogo.. Maana ukipata nafasi utaiba kikubwa...lakini jua siku ya arobaini yako ikifika

Niliɓeɓa mgongon kama mtt nikajifunika shuka la kimasai
 
Visabuni plus dawa ya meno nishapita nazo sanaaaaa tu
 
Ww noma!
 
Sisi tuliiba remot za TV na rafiki yangu wa kisukuma tunatoka depo mafinga 841 kj guest moja inaitwa rose garden iringa mjini mtaa frelimo kisa wametupandishia bei na ilikuwa usiku
 
Nachukuaga sabuni tu...hotel za dodoma wananikoma jamani
Mpaka sabuni? Duh
Siku zote ukitaka nchi endelee lazima utoweshe umasikini kwanza. Huwezi kujenga uwanja mzuri na taa barabarani wakati watu wana njaa lazima wataiba wakauze wapate hela ya kula.
Hongera mkuu
 
Du we demu jambazi...mwizi ni mwizi tu hamna mwizi mdogo.. Maana ukipata nafasi utaiba kikubwa...lakini jua siku ya arobaini yako ikifika utafi.rwa mande uloe mavi.....
Huyu ukimleta gheto akikuta laptop, simu, hela na vitu vingine ile unaingia bafuni au unatoka kidogo tayari anapita na vitu vyako. Hawa wanawake ni tabu sana tuwe makini na watu aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…