Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Mbona hotel za bongo zina vitu sub standard?

Vile visabuni, taulo huwa situmii kabisa.

Yale mashuka nalala shingo upande tu.
Na kweli waambie
Halafu mtu anaiba visabuni na taulo.
Mimi rucksack yangu inabeba kila kitu.
Ninachohitaji ni chumba tu
 
Nilisha ingia guest nikakutana na kitu kama hiki nikalala nacho mbele...


Sana sana nikiingia guest nikikosa cha kufanya huwa naharibu chochote nacho kiona kinafaa kuharibu...


Kuna sina nisha fungua switch ya kucharg nikatengesha minyaya humo ndani, ukichomeka sim sina inapigwa short moja matata, sijui kama aliyekuja kuingia kama alichomeka charg sijui kama ilibaki salama sim yake
 
Basi mna Mbinu kali xn
 
Mtoa mada serious unapita na shuka tena za guest aise una roho ya korosho.
 
Kuna jamaa yangu nilikuwa nae Chuoni yeye kazi yake kubwa ilikuwa kuiba Glass za wine na bia Bar/Pub na hii tabia hajaiacha mpaka leo japokuwa kashaoa na watoto anao. Pia alikuwa na tabia ya kuwasafisha mikoba,hereni,cheni,hela na saa mademu aliolala nao Guest.

Hivi karibuni tuu kuna demu alimpata akaenda kulala nae Hotelini yule demu akapanda dau kubwa akampa elfu themanini kabla hawajafanya lolote,demu kazitia kwenye mkoba wake jamaa alichofanya akavizia mida ya saa10 usiku demu kalala fofofo jamaa akazama kwenye handbag akachukua hela zote alizozikuta pamoja na za yule demu akasepa zake. Demu anaamka hakuti mtu kucheki pochi haina hata mia,demu akapiga sana simu jamaa hakupokea.
 
Huwa siibi ila huwa nafanya uharibifu wa mabomba ambayo sio imara.
 
[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…