Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Nakumbuka wakati nafanya kazi hotel flani (sihitaji jina kuna watu watanichomea humu), nilianzisha uhusiano na mmojawapo wa store keeper wa hapo hotelini.
Ilikuwa ni mwendo wa kubeba vilotion, vimswaki, vitaulo, vile vindala vya manyonya, sabuni, cable za umeme na vingine vinavyoingia kwenye pochi.
Kumbe hawa wafanyakazi wa muda mrefu katika maeneo yenye ulinzi wa kutumia camera, huwa wanajua muda ambao waangalizi wa camera wanakuwa wamesinzia, hivyo kupelekea kudokoa vitu kiurahisi.
Alikuwa akiniambia, muda flani tutaenda store ya hotel maana muhindi yule atakuwa anasinzia mbele ya screen muda huo.
Na hatukuwahi kushikwa.
Tulikuwa tunabeba sana vyakula vibichi au vilivyopikwa ndani ya kofia zetu za jikoni pale hotelini, keki, nyama, kuku, sambusa, sauce ndogondogo za chupa, chillies, tomato, samaki, toothpicks, pastes, tambi, vikopo vya masala, kahawa na vimaziwa vya pakti n.k
Sema ma-Chef wakuu wanakuwa wanoko hivyo akitoka tu, tumebeba.
Wapishi tunaiba sana vyakula na vidude vidogovidogo.
Nimefanya kazi hotel 3, nimekutana na tabia hizohizo.
Baadae nahisi walishtuka na kuanzisha utaratibu wa kuvua kofia na kuziacha jikoni wakati wa kuondoka nyumbani.
Ila nilikuwa najaza kifriji changu pasu kwa pasu na hotel ile.
Naenda bar naagiza glasi 3, moja ya bia ninayokunywa, moja ya maji na moja ya pombe kali.
Nabeba mbili naacha moja.
Nafanya hivi endapo muhudumu akinizingua.
Nilikuwa najiuliza, laiti ningekuwa nafanya kazi benki, sijui muda huu ningekuwa selo ipi!!!
Maisha yale sijui yalikuwaje.
ILA NOW NIMEACHA JAMANI, MSINIOGOPE!!!!!