Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

....wakisha kuua katika ulimwengu wa kiroho-...hakuna njia ya kujinasua ?!...just curious to know

Sent using Jamii Forums mobile app

Mpaka uhangaike sana , na sio wote wanaojua Tatizo liko wapi , mpaka ukute mtu ana imani sana na dini au mshirikina sana , yan mchawi haswa kila wiki yeye hakosi kwenda kwa waganga

Vinginevyo, utamaliza makanisa yote kuombewa, maaan wachungaji wengi na manabii ni ma agent wa shetani na Hata kama ukikuta mchungaji safi na hana nguvu za kiroho hawez kufanya chochote. Utakua na Bahati sana ukifunguliwa

Kwani wengi hufa na hizo laana na kuziacha kwa kizazi hadi kizazi

Ulimwengu wa roho unatisha sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app

Watu wana vifungo vya nguvu za giza , watu wengi wanateseka na kuaribiwa maisha na nguvu za giza it’s not a small matter .

Twende mbele turudi nyuma , Tanzania kuna wachawi wa kutisha, Mabilionea wengi ndan na nje ya nchi wanakimbilia Kwa waganga kuchukua nguvu za kiroho /giza . Na mtu akishaingia kwneye nguvu za giza ni ngumu sana kupambana nae , ngumu sana Sijui uwe na nguvu za Mungu kias gani Ndo Uweze kujinasua


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dah, haya mambo haya sio mchezo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mahali niliwahi sikia, biashara bila kuitengeneza kidogo ni nadra sana kutoboa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angel on earth
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, hii noma mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njemba ikatembeza mboko balaa [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
" Behind The Scene " anyway, pole mkuu, jitahidi ujue tatizo ni nini ili umalize hiyo hali
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ni majasiri sana kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaga vitu tupate kuelewa kiundan haya maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usemacho ckupingi Mimi mwenyewe hapa kuna uchawi nimefanyiwa sijui nimetupiwa jini sielewi
Nakumbuka kuna Banda niliwahi kupanga uswahilini, basi katka Ile nyumba nilikua naishi na mama wa kiha ambaye alikua na watoto watatu

Asa cjui kitu gani nilichomkosea Yule mama nakuanza kunitesa nakumbuka kuna siku mjuu wake aliingia ndani kwangu na sikua na mazoa na Yule mtoto basi alipokua mle ndani akaanza kuchezea vitu mara anachukua sabuni anamwaga, bodysray anairusha juu , mafuta anayamwaga nukimkataza anakua mkali kweli mwishiwe nikamuita mama yake akaja kumchukua

Cku nyingine aliingia ndani na kupanda kitandani kwangu then akawa anatambaa kama nyoka pale kitandani kwangu na akawa amekakamaa sana

Basi siku zilivyenda nikawa nikilala pale kitandani naota mambo ya ajabu sana haitoshi kuna kitu nakihisi kinatambaa nikikiangalia sikioni

Ikafika kipindi nikilala pale kitandani mchana naongea peke yangu yaani yanajirudia matukio kibao ambayo niliyasahau na nakua na hasira sana yakutaka kwenda kulipiza kisasi

Inshort mpaka muda huu hilo tatizo linanisumbua mkuu nashindwa nilitatue VP cjui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu nimekucheki pm fanya km unaiangalia kidogo
 
Tatizo ni IMANI HAKUNA hapo
 
Umehama nyumba au Bado?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…